Hayati Karume aliukataa mchezo wa ndondi Zanzibar leo unarudishwa. Je, tunatafuta laana yake kilazima?

Hayati Karume aliukataa mchezo wa ndondi Zanzibar leo unarudishwa. Je, tunatafuta laana yake kilazima?

Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar Hayati Karume anaanza Kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na Kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na Kulazimisha kuitafuta Laana yake ambayo huenda Ikawagharimu Wazanzibari?
Hayo no mawazo yake tu

Hata mambo yakibadilika leo hana cha zaidi katika ardhi ya zanzibar.

Makatazo yalipaswa kuwa kipindi cha uongozi wake tu.

Yani ni sawa na useme kuwa kisa Samia SH leo akataze jambo leo halafu lisiwahi badilishwa hata huko baadae, this is insane.

Mambo yanabadilika

Kuna muda lazima uendane na mazingira tu, binafsi sioni shida ama athari za mchezo huo.

Inawezekana Hayati Karume aliukataa kwasababu zake tu ambazo kwa dunia ya kileo ni hazina tija kwa taifa.

Naomba kuwasilisha.
 
Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar Hayati Karume anaanza Kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na Kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na Kulazimisha kuitafuta Laana yake ambayo huenda Ikawagharimu Wazanzibari?
Karume sio mungu,sio kila alichokikataa basi kisifanywe na waliomtangulia yy siye aliyeiumba zanzibar.
 
Alitunga sheria ikipitishwa na kikao cha wanywa kahawa kinachoitwa baraza la wawakilishi?kama yalikua ninmawazo yake kwa sasa hayana nafasi tena. Pompoma hajawahi miliki akili.
 
Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
Kwani yeye ni Mungu? Yaan kizaz Cha Sasa kikatazwe kufanya jambo Kwa sababu wazee wa zaman walikataa? Huo upuuzi ndo unatwambia hapa
 
Wenzako wanaenda na upepo kutoka Saudi Arabia,baada ya Wasaudi kuruhusu ndondi na wao wameruhusu.
 
Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
Tuliza kinyeo.

Kila kitu unajua wewe
 
Back
Top Bottom