GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hayo no mawazo yake tuKama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar Hayati Karume anaanza Kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na Kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na Kulazimisha kuitafuta Laana yake ambayo huenda Ikawagharimu Wazanzibari?
Karume sio mungu,sio kila alichokikataa basi kisifanywe na waliomtangulia yy siye aliyeiumba zanzibar.Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar Hayati Karume anaanza Kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na Kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na Kulazimisha kuitafuta Laana yake ambayo huenda Ikawagharimu Wazanzibari?
Kwani yeye ni Mungu? Yaan kizaz Cha Sasa kikatazwe kufanya jambo Kwa sababu wazee wa zaman walikataa? Huo upuuzi ndo unatwambia hapaKama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
Nasikia Karume asili yake ni malawi. Yaan mnyasa
Nasikia Karume asili yake ni malawi. Yaan mnyasa
Tuliza kinyeo.Kama Baba wa Taifa wa Kisiwa cha Zanzibar, Hayati Karume anaanza kupuuzwa hivi kwa yale aliyoyakataa na kuyazuia na kuyafanya hii siyo Dharau Kwake na kulazimisha kuitafuta laana yake ambayo huenda ikawagharimu Wazanzibari?
Wewe kuna Mtu amekuzuia kujua kila Kitu kama Mimi hadi Kuchukia Mimi kuwa that Knowledgeable kwa Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania?Tuliza kinyeo.
Kila kitu unajua wewe