Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Watumia asali ipi mkuu, ile nzito ya Uyuwi (ORIGINAL) au ile nyepesi ilochakachuliwa?wadanganye wajinga
🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watumia asali ipi mkuu, ile nzito ya Uyuwi (ORIGINAL) au ile nyepesi ilochakachuliwa?wadanganye wajinga
Hata rais Dkt Samia akihakikisha bei ya unga ina shuka, machinga hawafukizwi kama digidigi, watumishi wa umma wanakoma kabisa au wanaogopa kura rushwa basi na yeye ataishi mioyoni mwa watanzania kama ilivyo kwa Mwl Nyerere na Dkt Magufuli. Wewe hata kama ni hater kwa kiasi gani ujue Dkt Magufuli mpaka sasa ni mshindi na bahati mbaya sana mmecheza mchezo mbaya, mlipaswa muendelee kuomboleza ila nyie mkageuza kifo chake ni dhihaka kuu na dharau na kufurahia na kufanya sherehe, hivyo vitu vimewakera sana watanzania na hasira iliyopo ni kuu sana tena kama ni vita ni kugusa tu watu wanauwa wote mnaomdhihaki Dkt Magufuli.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni, kwamba angalau pamoja na kuiba kura, angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague.
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho, hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni, maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia, hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa, ni kulinda imani kufa na kupona, kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi, kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa, jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona.
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee, wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo CCM, hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki, mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa, kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa.
Sasa mshangao wangu ni huu, Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima?
Yaani alijaza kiu ya watanzania ya kuwa na kiongozi mtumishi wao.Binafsi natamani nizae Mtoto mwenye uwezo zaid ya JPM!
Yule ni mtu aliewakilisha maskini ipasavyo!na maskini ni wengi hawezi kosa wa kumuunga mkono!
Kitu Chadema na CCM hadi sasa mmeshindwa kufanya. Hii nchi watu pekee walioweza kushawishi watu hivyo hadi siku yao ya mwisho dunia ni Nyerere na Magufuli tu wengine wamefeli. Hamna cha Mbowe, JK, Sa100 na waswahili wengine mnao wapenda lakini bahati mbaya wanavutia vikundi vichache.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni, kwamba angalau pamoja na kuiba kura, angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague.
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho, hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni, maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia, hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa, ni kulinda imani kufa na kupona, kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi, kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa, jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona.
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee, wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo CCM, hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki, mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa, kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa.
Sasa mshangao wangu ni huu, Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima?
Kinara wa demokrasia duniani anateka watu (Guantanamo bay) anaua watu (Iraq, Syria). Sasa sijui mnadhani tupo mbinguni. Ni kweli Mungu ni mwema sababu hata sisi tukifika maadui zetu watasema tuko wapi. Uzuri wote tutapitia kifo. Najiuliza leo Mbowe akitangulia mbele ya haki (God forbid), familia yake itafurahi Pro Magufuli wakifurahia kifo chake?Alikua anaongoza nchi kijinga.dunia ya Leo inahitaji sayansi na diplomasia ya Hali ya juu.kuua na kuteka watu ilikua ni siasa za kishamba.kufuta chaguzi 2019 na ule wa 2020 alionyesha ni jinsi Gani alivyo zuzu.Mungu ni mwema,Yuko wapi Sasa??
Misukule kama ile ya Gwajima..kina USSR.
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani wanatengeneza wapambe wa kufanya kampeni, kwamba angalau pamoja na kuiba kura, angalau viongozi wa ccm waliopita waliunda hata timu ya kushawishi wananchi ili wawachague.
Dr Magufuli aliunda kikundi cha hiyari cha "kumuabudu" nasema cha hiyari maana sikuwahi kuona watu wakilazimishwa kujiunga nacho, hiki kikundi hakikuwa cha Kampeni, maana Magufuli hakuwahi kuamini katika demokrasia, hili kundi lilikuwa kama zile Praise team za makanisa, ni kulinda imani kufa na kupona, kwamba chochote atakachokifanya hata kama kilikuwa hatari kwa nchi, kama kuvunja kienyeji mikataba na wawekezaji wa kimataifa, jambo ambalo ni hatari lakini kikundi hiki kilishangilia kufa na kupona.
Kilikuwepo hata kikundi cha kutukana Wazee, wastaafu na Wanasiasa wa vyama vyote ikiwemo CCM, hakuna yoyote aliyepingana na Magufuli hata kwenye mambo ya msingi ambaye hakushambuliwa na kikundi hiki, mmemsahau Musiba na yale Magazeti yake yaliyodaiwa kuchapishwa na Usalama wa Taifa?
Inasemekana Magufuli alipenda sana kusifiwa, kwahiyo jamii inatambua wako waliokuwa wanamsifia na kujikuta wakiingizwa kwenye praise team na kuteuliwa.
Sasa mshangao wangu ni huu, Mtu huyu ambaye hakuwa na ushawishi wowote Majukwaani aliwezaje kutengeneza kikundi cha kumuabudu na kumtii mithili ya Machifu wa enzi za Ujima?
Na iwe mara ya mwisho kumfananisha Chavez na mambo ya kijinga!Magufuli alikuwa dikteta. Madikteta wote duniani sifa yao ni kuwa na watu wa kuwatukuza na kuwasifu. Ndiyo maana alifanikiwa. Namfananisha Magufuli na Chavez. Wote walikuwa populist waliodhani wanasaidia nchi zao kumbe wanaziletea majanga makubwa.
Kama Chavez alivyofia madarakani Magufuli naye alifia madarakani. Tofauti ndogo kati ya hawa wawili ni kuwa Chavez alikuwa na mrithi anaeendeleza ujinga wake. Magufuli alikuwa bado hajaanda mrithi wa kueendeleza udikteta wake
Nenda chooni Kakojoe ukalale hukoBinafsi natamani nizae Mtoto mwenye uwezo zaid ya JPM!
Yule ni mtu aliewakilisha maskini ipasavyo!na maskini ni wengi hawezi kosa wa kumuunga mkono!
Acha kumlinganisha Martin Luther na kijiji Cha kolomijeHiyo ndio Kiongozi
Kiongozi asipoyumba hata ajapo kufa atakuwa anaishi
Ndio hao akina Martin Luther
Ni sawa tu na nyie mnavyomuabudu yule jamaa ambae according to Mtatiro; Zaidi ya kwamba anajua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha na kwamba amewahi kufanya kazi benki kuu, hakuna mahali kokote unaweza kupata rekodi zake za kitaaluma!!Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
Mkuu mimi binafsi niliwahi kuipenda sana Chadema kabla hawajaamua kumpokea Lowasa, baada ya JPM kuingia nilizipenda sana kazi zake na namna alivyokua sio mwanasiasa; kama anakupa anakwambia wazi, kama hakupi anakwambia wazi pia na uchapakazi wa ajabu, na karibu 95% ya anayolaumiwa kufanya vibaya hana hatia kabisa ila tu ni mlolongo wa siasa za majitaka na tabia tu za watanzania kutokua na shukran, ku expect a lot from a person, kutokua responsible, kutanguliza lawama mbele kwa kila kitu na unafiki wa kiwango cha kimataifa.Madikteta hutumia wajinga kujichimbia mizizi.
I concur with you, 101%.Mtu yoyote ambaye hua anaona JPM hakua mtu mzuri, nafanya kuwaza ya kwamba nchi hii hata aongoze YESU au MOHAMMED bado watalaumiwa tu, nchi hii haijawahi kupata Rais mzuri kuzidi JPM, simaanishi wengine hawakufaa isipokua JPM alikua ni Bora kuliko
Na mtu anayemponda utakuta alikuaga ni mwizi wa pesa za umma Kwa namna moja ama nyingine na akakutana na mkono wa chuma wenye kutaka haki kwa wote kama ambavyo alifanya Gaddafi
Gaddafi aliapa kuishi kwenye matenti jangwani mpaka ahakikishe kila mLibya wa mwisho anamiliki nyumba ya kuishi, akaondoa utofauti mkubwa wa kipato na kuondoa Ile hali ya watu wachache kumiliki pesa kuliko Serikali na kusababisha Serikali isitawalike, watu wakafanana kwa kiasi fulani, ila Serikali ikawa na pesa za kutosha na kuweka huduma muhimu karibu zote Kwa Raia wote. Ndivyo JPM alivyokua anaipeleka nchi, lakini majizi machache yalipobanwa ili kutenda haki, yakaanza kulalamika mitandaoni ya kwamba JPM ni dikteta asiyefaa, yakasahau kabisa yalikua yalikwepa Kodi ama kukwapua pesa za Umma.
Binafsi napenda sana Spirit za JPM, Gaddafi, Patrice Lumumba, Saddam Hussein, Putin na wengineo ambao wana uchungu na wananchi
Mtu alishakufa, tena kifo chenye utata kisicho eleweka, lakini bado Kuna watu wanaendelea kugombana na mwili uliolala mauti na kuoza, hii ni aina ya ukichaa kwa watu
Au Yesu wa Tongareni!