Hayati Magufuli alifanikiwa kutengeneza kundi lililomuamini na kumtii mithili ya wafia Dini

Watanganyika ukitaka kuwa win wewe kuwa mpenda sifa, muongo muongo, mtu wa jazba, mkurupukaji na katili dhidi ya wenye nacho!
Ipo hivyo kuanzia kwenye singeli, bongo fleva, bongo muvi, mpira, komedi n.k.
Elimu. Elimu. Elimu
 
Hata rais Dkt Samia akihakikisha bei ya unga ina shuka, machinga hawafukizwi kama digidigi, watumishi wa umma wanakoma kabisa au wanaogopa kura rushwa basi na yeye ataishi mioyoni mwa watanzania kama ilivyo kwa Mwl Nyerere na Dkt Magufuli. Wewe hata kama ni hater kwa kiasi gani ujue Dkt Magufuli mpaka sasa ni mshindi na bahati mbaya sana mmecheza mchezo mbaya, mlipaswa muendelee kuomboleza ila nyie mkageuza kifo chake ni dhihaka kuu na dharau na kufurahia na kufanya sherehe, hivyo vitu vimewakera sana watanzania na hasira iliyopo ni kuu sana tena kama ni vita ni kugusa tu watu wanauwa wote mnaomdhihaki Dkt Magufuli.
 
Kitu Chadema na CCM hadi sasa mmeshindwa kufanya. Hii nchi watu pekee walioweza kushawishi watu hivyo hadi siku yao ya mwisho dunia ni Nyerere na Magufuli tu wengine wamefeli. Hamna cha Mbowe, JK, Sa100 na waswahili wengine mnao wapenda lakini bahati mbaya wanavutia vikundi vichache.
Mtu amekufa lakini hadi sasa anakunyima usingizi wakati Rais aliyeopo madarakani anavurunda kuliko kawaida. Anyway mpo wired hivyo.
 
Sijawahi kuingia jukwaa hili nkakosa nyuzi mpya kuhusu Magu....yule mwamba hakika ni historia ya kizazi na kizazi.
 
Alikua anaongoza nchi kijinga.dunia ya Leo inahitaji sayansi na diplomasia ya Hali ya juu.kuua na kuteka watu ilikua ni siasa za kishamba.kufuta chaguzi 2019 na ule wa 2020 alionyesha ni jinsi Gani alivyo zuzu.Mungu ni mwema,Yuko wapi Sasa??
Kinara wa demokrasia duniani anateka watu (Guantanamo bay) anaua watu (Iraq, Syria). Sasa sijui mnadhani tupo mbinguni. Ni kweli Mungu ni mwema sababu hata sisi tukifika maadui zetu watasema tuko wapi. Uzuri wote tutapitia kifo. Najiuliza leo Mbowe akitangulia mbele ya haki (God forbid), familia yake itafurahi Pro Magufuli wakifurahia kifo chake?
 
Misukule kama ile ya Gwajima..kina USSR.
 
Na iwe mara ya mwisho kumfananisha Chavez na mambo ya kijinga!
 
Kama Mbowe tu,alivyofanya Chadema. Muache Magufuli,he is no longer there. He is not in the équation.
 
Mkuu ilikuwaje watu wenye akili mkakusanywa na kuamua kuabudu binadamu ?
Ni sawa tu na nyie mnavyomuabudu yule jamaa ambae according to Mtatiro; Zaidi ya kwamba anajua kuzungumza kiingereza kwa ufasaha na kwamba amewahi kufanya kazi benki kuu, hakuna mahali kokote unaweza kupata rekodi zake za kitaaluma!!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Madikteta hutumia wajinga kujichimbia mizizi.
Mkuu mimi binafsi niliwahi kuipenda sana Chadema kabla hawajaamua kumpokea Lowasa, baada ya JPM kuingia nilizipenda sana kazi zake na namna alivyokua sio mwanasiasa; kama anakupa anakwambia wazi, kama hakupi anakwambia wazi pia na uchapakazi wa ajabu, na karibu 95% ya anayolaumiwa kufanya vibaya hana hatia kabisa ila tu ni mlolongo wa siasa za majitaka na tabia tu za watanzania kutokua na shukran, ku expect a lot from a person, kutokua responsible, kutanguliza lawama mbele kwa kila kitu na unafiki wa kiwango cha kimataifa.

Mind you mimi sio mjinga na wengi wanaomkubali JPM sio wajinga, wanaona na wanaweza kuchambua mambo.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
I concur with you, 101%.

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…