Hayati Magufuli alijua haya hata kabla ya ujio wa DP World

Hayati Magufuli alijua haya hata kabla ya ujio wa DP World

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,935
Huo ndio ukweli halisi na kama hamuamini ndugu zangu au members wa humu JF.

Msikilizeni kwenye hiyo clip alichokiingea live.

Nimeshangaa sana kuona Media streaming zote nchini kwamba hawajawahi kuona umuhimu wa hii video kwenye hili suala la Mkataba baina ya serikali ya JMT na UAE.

Akiwa binadamu ni kawaida kuwa na pande mbili.

Lakini pia kwenye ukweli tuwe wakweli wa nafsi zetu.

Huo ndio ukweli halisi na kama hamuamini ndugu zangu au members wa humu JF.
Msikilizeni kwenye hiyo clip alichokiingea live.

Nimeshangaa sana kuona Media streaming zote nchini kwamba hawajawahi kuona umuhimu wa hii video kwenye hili suala la Mkataba baina ya serikali ya JMT na UAE.

Akiwa binadamu ni kawaida kuwa na pande mbili.
Lakini pia kwenye mazuri tusiache kuyasema
 
Sema ile pesa iliyotumika kupanua bandari na kuongeza kina ili meli kubwa za mizigo ziwe zinatia nanga hafu leo hata miaka mitano haijafika tunaingia mikataba ya kimangungo kweli nchi iimekuwa ya kienyeji sana na tuna viongozi wa hovyo

Wawambie basi warudishe pesa tulizotumia kuwekeza bandarini then ndio tuingie nao mkataba
 
Alijua kila kitu ndio sababu alimteua Samia kuwa mgombea mwenza wake ili ikitokea kafa awe Raisi na ndicho kilichotokea. Na alijua sana kuwa Samia akiwa Raisi atayafanya haya anayoyafanya.

Taifa la walalamishi utafikiri watoto wa kambo.

Tufanye kazi kwa bidii kupigania familia zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wasiwasi na upeo wako, vile vile ni mbinasfi. Watangulizi wangepigania familia zao leo hata hiyo familia unayotaka kuipigania isingekuwa hapo. Kupigania familia ni pamoja na kulinda rasilimali zetu kwa faida sasa na vizazi vijavyo.
 
Sema ile pesa iliyotumika kupanua bandari na kuongeza kina ili meli kubwa za mizigo ziwe zinatia nanga hafu leo hata miaka mitano haijafika tunaingia mikataba ya kimangungo kweli nchi iimekuwa ya kienyeji sana na tuna viongozi wa hovyo

Wawambie basi warudishe pesa tulizotumia kuwekeza bandarini then ndio tuingie nao mkataba
Watarudisha wapi wakati hiyo deal ni watanzania wenzetu, na hao DP World wamekuwa affiliated tu?
 
Mkuu Pascal Mayalla !
Nimefarijika kuona mabandiko yako na nimeyapitia yote.

Tatizo kuu la nchi yetu ni Unafiki na Ubinafsi.
Magufuli alikuwa amezungukwa nao kuanzia Ikulu mpaka Msoga na huko Ma-wizarani.
Na same thing is going on round the time currently.

Sasa hapo ndio utaelewa ni kwa nini CCM haitaki watu wenye big thinking capabilities.

Ni kwa sababu ya kundi dogo la wasio na upeo bali waliojaa tamaa kuweza kuipenya CCM na hatimae kukaa kwenye "inner cycle core" ya CCM na hatimae kufanikiwa kuunda "Party Cartel's" na kisha kwa "Syndicate" hiyohiyo wameweka watu wao watiifu kule serikalini na hatimae wamekuwa ni "State Capture"

Watu wazuri na wazalendo ndani ya chama na serkali wametishwa na kutishika.
Ukiona unagombea na kukatwa jina au kunyimwa kura na "wajumbe" basi elewa si maamuzi yao bali ni maamuzi ya hao "State Captures" kwa jofu ya kwamba ongezeko la wajanja na waelewa ndani ya chama.
Kutawaamsha wengi waliolala ndani ya chama bila kuujua mchezo unaoendelea.

Na matokeo ya CCM kubagua watu wenye upeo na hoja,imepelekea CCM kukosa viongozi wenye weledi na uelewa.

Sasa kuanzia huko U-VCCM mpaka Jumuia za wazazi na wanawake.kuna ombwe kubwa la uongozi na hakuna yeyote aliyeweza kuvaa viatu vikamtosha.

Hapo sijaongelea hawa makatibu wa uenezi wa CCM na katibu mkuu sampuli ya Chongolo!

Hapo ni wazi tegemeo kuu la CCM kwenye chaguzi ni Dola na Dollars $.
Sio hoja wala ushawishi kwa wapiga kura.
Jumatatu njema!
 
Alikuwa muuaji na dhalimu. Aliteka watu, aliwatesa na kuwaua. Kamuua member mwenzetu Ben Saanane
Hata Samia anateka na anatesa.
Mpaka sasa kuna msanii anaitwa Dawa kutokea Chato anatumikia kifungo cha miaka saba jela.
Kisa ni kumuimba Samia na kumpa ukweli.
Kuna mwananchi huko Simiyu-Bariadi anatumikia kifungo cha miaka 16 jela eti kwa tuhuma za kumtukana Samia!

Samia anateka wabunge anateka wanasheria na kuwabambika kesi.

Je!
Umevaa miwani ya mbao kutoyaona hayo.

Kila binadamu anayo mazuri na mabaya yake.hatuwezi kukaa kimya tusitlyaseme yale maxuri aliyoyafanya Magufuli kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Eti kisa Ben Saanane!

Ebu waweke kwenye mzani kisha uone balance ya mzani inalalia wapi?

Wewe Heci unaweza pia kuwa ni mmojawapo wa ile DECI.
 
Sema ile pesa iliyotumika kupanua bandari na kuongeza kina ili meli kubwa za mizigo ziwe zinatia nanga hafu leo hata miaka mitano haijafika tunaingia mikataba ya kimangungo kweli nchi iimekuwa ya kienyeji sana na tuna viongozi wa hovyo

Wawambie basi warudishe pesa tulizotumia kuwekeza bandarini then ndio tuingie nao mkataba
Na hiyo ndio hoja kuu ambayo hata maaskofu wa TEC wameitumia.
 
Back
Top Bottom