SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Duu kwa kweli...hili swala motoHuo ndio ukweli halisi na kama hamuamini ndugu zangu au members wa humu JF.
Msikilizeni kwenye hiyo clip alichokiingea live.
Nimeshangaa sana kuona Media streaming zote nchini kwamba hawajawahi kuona umuhimu wa hii video kwenye hili suala la Mkataba baina ya serikali ya JMT na UAE.
Akiwa binadamu ni kawaida kuwa na pande mbili.
Lakini pia kwenye ukweli tuwe wakweli wa nafsi zetu.
View attachment 2730950