Hayati Magufuli alijua haya hata kabla ya ujio wa DP World

Duu kwa kweli...hili swala moto
 
Huyu jamaa kwanini asifufuke?

 
Ukiitwa kuthibitisha hili mbele ya vyombo vya Dola utaweza? Au ndiyo ushujaa wa kucomment nyuma ya fake ID?
Huwa nawashangaa sana watu wa coment za aina hii.
Ila mimi huwa nawachukulia kuwa ni wahanga wa vyeti feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…