Hayati Magufuli alikosea kwenye mambo mengi mno. Kubwa mojawapo ni kumchagua huyu mtu

Umechambua vizuri sana. Naona leo yote yanatokea kule US na hapa nyimbani.
 
Kaka umetema cheche balaa.
 
Umechambua vizuri sana. Naona leo yote yanatokea kule US na hapa nyimbani.
Huwa sipendi sana kulinganisha akili au kupima akili za watu wengine.

Ila kwa hawa wamama wawili [Samia na Kamala], dhidi yao najiona ni ‘genius’.

Kati yao hao wawili, nadhani Samia ana afadhali kidogo.

Kamala ni mweupe kabisa. Sijui hata alifaulu vipi shule ya sheria 🤣.
 
Magufuli mwenyewe aliteuliwa kwa makosa.

Na katika swali la mgonbea mwenza aliloulizwa akijibu kuwa yeye atakuwa sawa tu na mgombea ambaye chama kitampangia, so Samia si lazima awe chaguo la Magufuli tu.
 
Magufuli mwenyewe aliteuliwa kwa makosa.

Na katika swali la mgonbea mwenza aliloulizwa akijibu kuwa yeye atakuwa sawa tu na mgombea ambaye chama kitampangia, so Samia si lazima awe chaguo la Magufuli tu.
Sasa katika wote waliopo CCM, Samia ndo alionekana anafaa/ mwenye sifa kuwazidi wengine kweli?

Hao shot-callers ni akina nani?
 
Sasa katika wote waliopo CCM, Samia ndo alionekana anafaa/ mwenye sifa kuwazidi wengine kweli?

Hao shot-callers ni akina nani?
Yule alionekana anaenda kuwa hausigeli wa Ikulu kumbebea mikoba Magufuli na kuwapooza Wazanzibari. Hawakutaka mtu mwenye akiki zake kutoka Zanzibar asije juwaletea matatizo kama Jumbe.

Hawakufikiri kwamba mtu anayetembea na kibetri kwenye moyo anaweza kufariki nuda wowote.

Ndiyo ufupi wa akiki za CCM.

BTW your candidate Trump amd Musk are about to lit it up on X.
 
You conclude on abstract
 
Trump is not my candidate. Never has been.

My thoughts on him are very clear. I’ve stated umpteen times about how dumb he is.

Before Kamala, he [Trump] was the dumbest candidate to ever run for office.

But now both of them share that title.

I don’t like the lawfare against him, though. And I wouldn’t like it against Kamala, RFK Jr., Cornel West, or you, either, if I thought it’s being done for political reasons.

So my opposition to the lawfare against him is not my endorsement.

I just happen to have a keen sense of fairness and justice.

Trump and Musk on X, there’s nothing new there. I don’t expect there to be a serious discussion on any important policy matter.

Trump is gonna be Trump. Everything will be about himself and I’ve seen that movie before.

He rarely talks about policy.

Honestly, I’d rather have J. D. Vance than Trump at the top of the GOP ticket and somebody else other than Kamala on the Democratic side.
 
Hivi kuwa Mjamaica kama Ussain Bolt na Bunny Wailer sio kuwa mtu mweusi? Labda baba yake Kamala alikuwa Mjamaica Mzungu tujuze.
 
Kauafadhali ka chura kiziwi ni kale ka kukaa karibu na Mzee baba ile miaka 5 kinyume na hapo tungeshuhudia uongozi km wa mfalme juha
 
Nashauri tuukubali ukweli wa siasa za Kiafrika, African democracy, mwanamke hata uwe mzuri vipi katika utendaji, ili ukubalike na kuchaguliwa lazima kufanyika kwa some affirmative actions za kiwango fulani, the same applies to Samia, aliupata u VP kwa affirmative action so does Anna Makinda na sasa Dr. Tulia Akson.

The final affirmative action kwa Samia from No. 2 into No.1, imefanywa na Mwenyewe HE WHO HE IS!.

Lakini tukija kwenye our top female politicians, ukimuondoa Prof Ana Tibaijuka ambaye age iliishamtupa mkono, who is any other woman that would have made a better president than Samia?, nitajie...
Kama hakuna, ina maana Samia is the best that we have, unless thingies kwenye notion kuwa Tanzania bado hatuna competent females befitting the post of president of URT.

Tumpe tuu maua yake Samia.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…