yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Salute,
Aliyekuwa rais wa Tanzania, awamu ya tano, Hayati John Pombe Magufuli, alikuwa na sura kuu mbili:
1. Ndie kiongozi anayetuhumiwa kwa udicteta, ukatili, kunyang'anya watu pesa, ufisadi na kuzima democrasia, lkn kundi hili linalo mtuhumu ni kundi ambalo alilishughurikia kiukamilifu na kwa nguvu kubwa, kwenye kundi hili utawakuta mafisadi, wahujumu uchumi, wakwepa kodi, vyeti feki, na wazembe kazini. Hili ndio kundi la watu waovu linalomwona jpm ni mwovu, na kamwe halitatokea limpende, ni mbwehe walionyang'anywa mwana kondoo wakimtafuna, ni kama mainzi kwenye mzoga.
2. Kuna kundi la machinga, wakulima wadogowadogo, bodaboda, mama lishe, wachimbaji wadowadogo, wafugaji, na raia woote wanaotii sheria, walimwona JPM ni kiongozi mwema na zawadi kutoka kwa Mungu, aliletwa na mungu ili kuja kuondoa kero zao, hawa mpk kesho huwambii kitu kwa JPM, nao wanaitwa sukuma gang.
3. Pia kuna kundi la watanzania wazalendo, wenye uchungu wa kweli na hii nchi, waliokuwa wanachukia wakiona nchi inavyotafunwa na kundi la mbweha toka CCM, humu utawakuta viongozi wa dini, Wakristu na Waislamu, wasomi, wanasiasa toka upinzani, wanasiasa toka CCM, (ambao ni Wazalendo) wakulima na wafanyakazi, kundi hili linamwona magufuli ndio alikuwa mwarobai wa matatizo ya nchi, hawa ndio mpk mda huu wanamtetea JPM na kumwona kama mwokozi wa nchi hii, hili ndio kundi linaloitwa sukuma gang, japo si kweli kuwa hawa watu ni Wasukuma.
MAGUFULI NI MWOVU KWA WATU WAOVU, NA NI MWEMA KWA WATU WEMA