Linapotokea tukio kama la Lissu kushambuliwa, ni wajibu wa serikali kutoa majibu wahusika ni nani, na wawajibishwe. Je, kwenye tukio lile kuna uchunguzi iliyofanywa? Je serikali haijui nani alitoa CCTV camera iliyokuwa eneo la tukio? Je serikali haijui kwanini siku ya tukio askari ambao wanapaswa kulinda eneo lile 24/7 hawakuwepo?Serikali ingekuwa na mpango wa kumuua lissu isingefanya huo upumbavu wa kijinga,