Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Bado mnateseka ,Maku za mama zenu ,na bado
 
Wa Wacha azungumzie, labda ni namna ya kushukuru Mungu, amepata afueni hata ya matumaini, pia ni namna ya kukumbusha waliopo na watakaokuja wasijione miungu wapatapo nafasi! Hivyo yasijirudie, naamini watz wengi hawakupenda namna ya utawala wake, ongea yake, dharau zake, kujipendelea, ukabila, chuki, uonevu, kutojali afya za watu wake! Kumsema hakuta koma kisa marehemu, wacha asemwe kwa mazuri na mabaya! Hata mazuri anayo!
 
Mada yako inatusaidia nini?Usitupotezee muda.Tujadili mambo yaliyopo.
Hata mods nao siwaelewi ,ukitwanga kali kuhusu mfano Mbowe au Samia au yule hakimu aliemfunga Sabaya wanaondoa uzi kwa kuunganisha ,sasa hizi Nyuzi dhidi ya hayati Magufuli zinamkono nyuma yake,amini
 
He is the dead body, unapambana na mtu ambaye hawezi kujitetea na alivyokuwa anaweza kujitetea ulikuwa kimya muoga...

Tupambane na waliokuwa hai maana wanaweza kujitetea...
Ni lazima watu waandike ili vizazi vijavyo vijue.
 
Defensive mechanism!
 
Like lilikuwa tatizo kubwa sana. Ameacha majeraha mengi hivyo ataendelea kuhadiliwa no matter what. Watu wengi bado wapo kwenye kiwewe hawaamini kama ni kweli kimbunga kimetulia. So Rais wako mpendwa ndugu atazungumzwa sana.
Raisi alikuwa wa Tz sio wangu......
kafanya mengi mazuri......
tumeona wanaomchukia wote wakikuwa upande wa mfumo taka
 
Hata mods nao siwaelewi ,ukitwanga kali kuhusu mfano Mbowe au Samia au yule hakimu aliemfunga Sabaya wanaondoa uzi kwa kuunganisha ,sasa hizi Nyuzi dhidi ya hayati Magufuli zinamkono nyuma yake,amini
Hili jukwaa siku hizi limepoteza hadhi yake,vijana waliokosa ajira naona wamepewa vibarua walicontrol
 
Upo sahihi sana
Haya myaandike kwenye vitabu vya historia.Humu mnajaza server tu.Hivyo vizazi vije visome vitabu.Tuna mada msingi sana za kujadili.Huyo mleta mada angemtetea Mbowe anayeonewa ningemwona ana akili.
 
Wanasema ukiachwa achika..jamaa mtoa mada kagoma kuachika....utadhan alipigwa ...d...le
 
Haya myaandike kwenye vitabu vya historia.Humu mnajaza server tu.Hivyo vizazi vije visome vitabu.Tuna mada msingi sana za kujadili.Huyo mleta mada angemtetea Mbowe anayeonewa ningemwona ana akili.
Tuki msifia Rais wetu mpendwa mama SSH, hampendi , tukizunguzumzia maovu yaliyo tendwa na kuweka wazi maovu ili watu na vizazi vijavyo vitambue, pia hamtaki du. Sawa semeni nyinyi yanayo wapendeza.
 
Haya myaandike kwenye vitabu vya historia.Humu mnajaza server tu.Hivyo vizazi vije visome vitabu.Tuna mada msingi sana za kujadili.Huyo mleta mada angemtetea Mbowe anayeonewa ningemwona ana akili.
Mkuu usijipe jakamoyo bure kwa kutaka kila mtu akubaliane na mawazo yako.

Unaye muona kwako ni untouchable ujue kwa mwenzako anaonekana ni mtu wa kawaida sana.
 
Tuki msifia Rais wetu mpendwa mama SSH, hampendi , tukizunguzumzia maovu yaliyo tendwa na kuweka wazi maovu ili watu na vizazi vijavyo vitambue, pia hamtaki du. Sawa semeni nyinyi yanayo wapendeza.
Wewe huoni injustices zilizopo?Badala ya kutueleza masuala ya wafu,ungeielimisha jamii inapataje utawala bora unaozingatia haki.Au basi ungehamasisha ushiriki wa jamii kwenye maendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…