mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
- #21
Umemuuiza swali Zuri wanakulaje wasichozalisha?Kwahiyo ambao si wafungwa huku uraiani tunapofanya kazi na tunajitegemea chakula, mavazi, malazi nk tunatumikishwa na Nani? Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu sisi ambao si wafungwa "kutumikishwa" halafu tuwapelekee wafungwa chakula?
Magufuli alikuwa sahihi.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app