mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
- Thread starter
-
- #21
Umemuuiza swali Zuri wanakulaje wasichozalisha?Kwahiyo ambao si wafungwa huku uraiani tunapofanya kazi na tunajitegemea chakula, mavazi, malazi nk tunatumikishwa na Nani? Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu sisi ambao si wafungwa "kutumikishwa" halafu tuwapelekee wafungwa chakula?
Magufuli alikuwa sahihi.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hapana Director of Public ProsecutionDDP ndio "Director of Public Procurement"?
cjui kama atakuelewa huyo dpp maana hana meno.Wana JF
Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali.
Kwanini nasema DPP ndiye hukwamisha mpango huu ni kwa sababu mahabusu wa kesi za kubambika wapo wengi lupqngo kuliko ambao mashauri yao yameshaamuliwa na kupatikana na kesi . Mrundikqno wa kesi zinazochukua muda mrefununadhoofisha kwanza watu wanapoteza afya yao na akili zao zinagubikwa na mawazo lakini kama wangefungwa mapema basi kwa magereza ni faida kwa kuwa wanaenda kuimalisha kilimo ufugqji na viwanda vidogo vidogo. Serikali isijenge magereza holela kusiko na uzalishaji kama ukonga na segerea bali ijenge magereza kwenye sehemu za kilimo na usindikaji. DPP kesi zisizo na ushahidi kamili bora akazifukuza na zenye ushahidi kamili zisipoteze muda ili watu wawahi uzalishaji.
Mwendakuzimu hayupo MkuuWana JF

Kuzikwa naye Ki-Zitto Zitto au ki Tyson maana hawa watu hamnazo wanakalia malawama tu kwa mwendambinguniMwendakuzimu hayupo Mkuu
Nenda pale Ukazikwe nae