Kinachofanya Leo Patrice tunamusoma primary mpka Chuo nini ?Hata Lumumba hakua smart, huwezi eleza azma yako kabla ya kupewa kiti. Hakua politician kabisa ndio maana aliondolewq kirahisi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachofanya Leo Patrice tunamusoma primary mpka Chuo nini ?Hata Lumumba hakua smart, huwezi eleza azma yako kabla ya kupewa kiti. Hakua politician kabisa ndio maana aliondolewq kirahisi sana
Hata Idd Amin tunamsoma kwa historia, wewe unapewa madaraka unaanza vitisho. Kwani angesubiri apate kiti kama Mugabe ndio awanyooshe wazungu angepungukiwa nini?Kinachofanya Leo Patrice tunamusoma primary mpka Chuo nini ?