Hayati Magufuli alikuwa smart?

Hata Lumumba hakua smart, huwezi eleza azma yako kabla ya kupewa kiti. Hakua politician kabisa ndio maana aliondolewq kirahisi sana
Kinachofanya Leo Patrice tunamusoma primary mpka Chuo nini ?
 
Kinachofanya Leo Patrice tunamusoma primary mpka Chuo nini ?
Hata Idd Amin tunamsoma kwa historia, wewe unapewa madaraka unaanza vitisho. Kwani angesubiri apate kiti kama Mugabe ndio awanyooshe wazungu angepungukiwa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…