StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Ulikuwa unapata ongezeko la huo mshahara?kuwapiga
Amewatesa wewe na nani mkuu,mimi kaa,hajanitesa.Mshahara wangu nilikuwa napata na biashara zangu nilikuwa nafanya.Nadhani aliwatesa wapigaji na kama na wewe ulikuwa mpigaji pole.
Maadui wa nchi yetu,ndio walio-tuaminisha kwamba anatutesa,lakini actually sio kweli.They wanted to steal our resources,alipowawekea kauzibe,wakamuona mbaya.Walifanya hivyo kwa Lumumba,Nkrumah,Gadafi nk.na hawatasita kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote mzalendo wa kweli.Ukiona mabeberu wanampenda kiongozi wenu,ujue anashirikiana nao kuwapiga,huo ndio ukweli mchungu.
Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app