Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Ulikuwa unapata ongezeko la huo mshahara?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Mh. Lissu , Mbowe na wengi ndani ya CHADEMA hawawezi kukuelewa wao wanasema ni
  1. maombi yao kwa Mungu wao
  2. corona
 
Ulikuwa unapata ongezeko la huo mshahara?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
Hata wakati wa Kikwete mimi nilikuwa napata sana sana Sh 10,000 nyongeza,sasa niki include inflation realistically hapakuwa na nyongeza,infact considering inflation mshahara wangu ulikuwa unapungua.Uzuri wa Hayati Magufuli ni huu,yes alikuwa haongezi mshahara,lakini alichokuwa anafanya nilikuwa nakiona.

Mwisho,nijisemee mimi kama mimi,I love my country dearly,so niko tayari ku-sacrifice for the benefit of the country and it's people.Simply put it,I am not egocentric.
 
... halafu hakupenda sana kusafiri nje ya nchi hususan long safaris; kwanza uchovu kwenye midege; pili maswali ya maudhi ambayo angeulizwa yangemuumiza sana! Mliokuwa mnahoji kwanini Magufuli alikuwa hasafiri jibu ndio hilo hayo mengine uzushi!
Na ndiyo maana pia alikuwa haongei kiingereza
 
Na sasa hivi Ikulu hapakaliki
Nani kasema? Watu wanakula na kusaza bin ku-enjoy. Wewe kalia hayo hayo tu.

Ikulu isikalike kwasabb ya huyu mshamba/limbukeni bin katili mtoa roho za watu??
 
Mahiga?kijana mwaminifu wa saint peter's!!
 
Ukiwa na tatizo la figo, moyo, diabetic ukipata CORONA inakuwa umekufa kwa complications from CORONA. Kama alipokufa alikuwa na positive na covid-19, haina mjadala kifo kimetokana na covid 😷
 
Basi nenda Chato ukalie
 
Umemsahau Maalim Sefu
 

Angetuliza wenge sasa. Umesahau alivyokuwa anamkejeli Lowassa kwa kupiga push-ups kuonyesha kwamba alikuwa fit?

Tatizo Mwendakuzimu aliishi kwa uwongo sana yule.
 
wakati akiwa mwanafunzi wa masters, sisi tuliokuwa waalimu wa chuo kikuu wakati huo tulimchangia kwa makato ya mishahara ili akatibiwe uingereza. Profesa Mrama (mama wa nguvu) ndiye aliyehamasisha harambee ile.
 
Ukiwa na tatizo la figo, moyo, diabetic ukipata CORONA inakuwa umekufa kwa complications from CORONA. Kama alipokufa alikuwa na positive na covid-19, haina mjadala kifo kimetokana na covid 😷
Labda mfano mzuri ni kuwemo kwenye gari halafu ikatokea ajali, baadhi wakapona wengine wakafariki. Kila aliefariki tunasema amekufa kwa ajali ya gari (japo wengine hawakufa kwa ajali pengine walikuwa na maradhi ya moyo 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…