Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,403
Reaction score
2,546
Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye.

Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively.

Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani.

Suala la Ngorongoro kila mtu anajua. Serikali ina lengo la kuhifadhi maeneo potential kwa utalii ila Kenya inapinga.

Hivi nini maana ya nchi huru, yenye internal sovereignty?

Hivi JPM angekuwepo wangediliki kufanya hvi?

Nchi sasa hivi imekuwa kama familia isiyo na BABA, mambo yanaendeshwa ovyo ovyo. Mikopo isiyo na kichwa wala miguu, mirador mikubwa ya kimkakati imesimama.

Usalama wamelala, where are we heading as a nation.

Sasa MAMA anaacha kwenda kuudhuria mkutano wa EAC eti kama reaction ya wanachofanya Kenya. Inasikitisha.

Hivi Jeshi kazi yake nini? Hawa Wakenya na mme wake mmarekani hawatuwezi kwa chochote.

Sisi tupo na ndugu zetu wa damu Warusi. Si mnaona baba Putin anavyowapelekea moto NATO?

Hawa wakenya ni wakupiga kama Uganda kipindi kile.
 
Anachofanya Samia ndicho alichofanya Magufuli. Tofauti Samia anafanya kweli kwenye approach ya kisomi zaidi

Kama kukopa wote wanakopa na kama kusimamia maslahi ya Tanzania wote wanasimamia maslahi ya Tanzania
 
Kufanya wangefanya ila tu ujue kwasasa Dunia ina Dili na Diplomasia ya Uchumi hivo ujasusi wa kiuchumi ndiyo nguzo kubwa unazozifanya nchi za magharibi kuwa pale zilipo na utajiri wao, Nyinyi huku endeleeeni na Diplomasia yenu yakukenuana meno na kupewa misaadaa maana ndo mnajua Diplomasia hiko hivo.
 
Nyerere alifanya zaidi ya Magufuli sasa maana ye alitangaza wazi mpk kufunga mpaka wa Tanzania na Kenya sijui utasema naye hakuwa anafanya kisomi?

Usichokijua Kenya anafanya sana Ujasusi wa kiuchumi na nchi ya Kenya inaitaji marais wenzake aina ya Nyerere na Magufuli watu wenye maamuzi magumu sio kubembelezana.
 
Kufanya wangefanya ila tu ujue kwasasa Dunia ina Dili na Diplomasia ya Uchumi hivo ujasusi wa kiuchumi ndiyo nguzo kubwa unazozifanya nchi za magharibi kuwa pale zilipo na utajiri wao, Nyinyi huku endeleeeni na Diplomasia yenu yakukenuana meno na kupewa misaadaa maana ndo mnajua Diplomasia hiko hivo.
Hatari sn
 
Kuna makitu hapo umechanganya hujulikani upo upande gani mara
Kenya mara
Mikopo ajabu hii,
Magufuli alikosa intelegenti ya kudeal na jirani, Samia does it well
Poor thread ever seen.
 
Wewe ni mpuuzi. Tupigane na Kenya kisa maneno yao ya uongo unadhani vita inakaribishwa kirahisi hivyo. Kama vipi kaombe silaha wewe ndio ukapigane. Nchi zina matatizo kibao na bado unataka kuongeza gharama na uharibifu
Msamehe tuu bro...Mihemko sio kitu kizuri...Ila kenya Tupingue Urafiki wamezidi kutupiga matukio;
Kilimanjaro wao
Mererani wao
Ngorongoro wao
Hawa wametumwa sio buree.
 
Tupigane na Kenya kisa maneno yao ya uongo unadhani vita inakaribishwa kirahisi hivyo. Kama vipi kaombe silaha wewe ndio ukapigane. Nchi zina matatizo kibao na bado unataka kuongeza gharama na uharibifu
Wewe unadhani Urusi kuingia vitani 2022 ni mpuuzi eeh, vita ya Marekani na Nchi za Kiarabu miaka hii ni diplomasia eeh? Acha upumbuji.

Kama hujui tulia. Vita ndio nyia pekee ya kuleta heshima.
 
Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye.

Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively...
Halafu kuna mtu anapinga condom zisitumike kuzuia mimba ziizotarajiwa... Huwa sielewi kabisa wanaopinga matumizi ya condom.
 
Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye.

Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively...

action and reaction are equal to opposite.
 
Halafu kuna mtu anapinga condom zisitumike kuzuia mimba ziizotarajiwa... Huwa sielewi kabisa wanaopinga matumizi ya condom.
Pinga hoja kwa hoja sio maneno ya kwenye kanga kama shoga.

Au mwenzangu we punga? Kama ndugu zenu America?
 
Anachofanya Samia ndicho alichofanya Magufuli. Tofauti Samia anafanya kweli kwenye approach ya kisomi zaidi

Kama kukopa wote wanakopa na kama kusimamia maslahi ya Tanzania wote wanasimamia maslahi ya Tanzania
Kichwa kimejaa [emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]siyo wa uzuzu huu
 
Wacheni utapeli wenu, wakati wa JPM hatukusikia wamasai wanasumbuliwa Loliondo wala Ngorongoro.

JPM alikuwa analinda rasilimali za hili taifa, nyie mnazitoa kama zawadi kwa wajomba zenu, kuna tofauti kubwa kwenye kulinda rasilimali za taifa kati ya JPM na hawa waswahili wa Pwani.
 
Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye.

Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively...
Manyang'au wengi walevi, uwezo wa kupambana na Tanzania hawana. Kama walishindwa kuwadhibiti na hatimae kuwamaliza wapiganaji wa kisomali ndan na nje ya nchi yao.

Je, wataweza kupambana na jeshi ambalo halikuwahi kushindwa katika oparation zake? Msumbiji, Angola, Namibia, Angola, Congo M23, Uganda nk tumeshajenga heshima huko.
 
Kwani Kenya wamefanya nini? Ngorongoro? Hao si Wamasai wenyewe, halafu ni kelele tu wala hazina madhara
Hatujafungiana mipaka kama enzi za jiwe na watu wetu kupata hasara
 
Back
Top Bottom