Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

Hii mada yako imepitia turbulence maana ni mvurugikaniko mkubwa sana.
 
Wewe ni mpuuzi. Tupigane na Kenya kisa maneno yao ya uongo unadhani vita inakaribishwa kirahisi hivyo. Kama vipi kaombe silaha wewe ndio ukapigane. Nchi zina matatizo kibao na bado unataka kuongeza gharama na uharibifu
Huyu mpuuzi, hajui vita ni janga kubwa, inaangamiza uchumi,
Vita ya Uganda mpaka leo makovu hayajapona, tuanzisha nyingine na Kenya?
 
The previous was very powerful
 
Hili suala la Loliondo sio la leo wala jana. Tatizo serikali imeshindwa kulifanyia kazi huko nyuma sasa wanataka kulimaliza kwa mara moja. That's wrong and not possible. Serikali ilitakiwa ije na mpango wa miaka hata 5 hadi 10. Wanatakiwa kuwa engage, educate and compensate vizuri hawa watu.

Hata huko Handeni wanakokwenda usije shangaa siku zijazo wanaanza migogoro na mapigano na wenyeji. Huwezi kuwahamisha watu zaidi ya 50 K in a short period of time uwapeleke kwenye mazingira mapya halafu utegemee watakwenda huko wasettle peacefully. Hata kwenye vijiji vya ujamaa alivyovianzisha Nyerere kuna watu waliamua kurudi kwenye makazi yao ya awali baada ya miaka 20.
 
Huyu mpuuzi, hajui vita ni janga kubwa, inaangamiza uchumi,
Vita ya Uganda mpaka leo makovu hayajapona, tuanzisha nyingine na Kenya?
Tusameheane mkuu huwezi jua wakati anareply alikuwa anatokea wapi
 
Anachofanya Samia ndicho alichofanya Magufuli. Tofauti Samia anafanya kweli kwenye approach ya kisomi zaidi

Kama kukopa wote wanakopa na kama kusimamia maslahi ya Tanzania wote wanasimamia maslahi ya Tanzania

Tunadeal vipi na kenya kisomi naomba ufafanuzi tafadhali!
 
Pinga hoja kwa hoja sio maneno ya kwenye kanga kama shoga.

Au mwenzangu we punga? Kama ndugu zenu America?
seee..... condoms huwa zinasaidia kuzuia watoto ambao hawakupangwa kuzaliwa.... hawa ndo huwa wanaiharibu dunia maana huwa ni mtoko tu wa sperms unaosababisha wazaliwe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…