Salaam Shalom,
Enzi ya Magufuli, Ukiwa na kitambulisho cha matching guy cha 20,000 Kwa mwaka, TRA Wala Jiji walikuwa hawakusogelei ukiwaonesha.
Ndipo nikajua kuwa, Watanzania wanapenda kulipa Kodi inayoendana na uwezo wao.
Ndugu yule, alifanikiwa kukusanya pesa nyingi sana Kwa mfumo Rahisi.
Waliopo sasa Badala ya kuboresha, wameufuta Utaratibu huo, jambo Hilo limesababisha mapato kukosekana, kutwa kucha wanakimbizana na maskini.
Ni vizuri kuiga mazuri na kuacha mabaya ya mtu, lakini kumchukia mtu jumla hata Kwa mazuri yake, Si sahihi.
TUJISAHIHISHE.