Hayati Magufuli alisema ujenzi wa Daraja la Selander umekorofishwa

Tatizo ni sisi watanzania wenyewe kwa kuendekeza njaa ,, tamaa na ubinafsi.

..Ni lazima tuwe na sheria, na miongozo, ya kudhibiti wenye njaa, tamaa, na ubinafsi.

..Sasa sheria na miongozo hiyo itapatikana ktk KATIBA MPYA.

..Katiba mpya iliyo bora ndio itakuwa rejea na dira ya Taifa letu.
 
Uingereza haina katiba, unaongelea katiba gani?
 
unawezaje kuitenganisha dola na serikali ya ccm
Ccm ni chombo Cha kuhalalisha utaratibu wa uchaguzi na kushika hatamu,ndomana yule alitaka mgombea mwenza yule lakini dola ikaamua inavyotaka yenyewe
 
Ccm ni chombo Cha kuhalalisha utaratibu wa uchaguzi na kushika hatamu,ndomana yule alitaka mgombea mwenza yule lakini dola ikaamua inavyotaka yenyewe

Mkuu nazani umechanganya kati ya dola na mfumo ( deep state)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…