Fifteen
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 512
- 594
Hahahaha sema mkuu mbna we mwenyewe hufati democracy Aya judge kwa haki kifo Cha nani alikipanga?There was no suicide mission. Kwa Magufuli vikosi vilipangwa kabisa na yeye kuyekeleza maovu. JK haku ratibu vitu kama hivyo. JK naye alikuwa dhaifu sana and it has been said kwamba hawa watu wa karibu na unasaba wake siyo wa kutawala ni kucheza ngoma , mdundiko and the like! JK wa from the dynasty of IRON boys and therefore their role has bee clearly defined by PLATO..................In a society, people’s intellectual abilities are naturally divided into three groups; golden boys, silver boys and iron boys.
The iron boys, the dull ones were to be prepared for intellectually less demanding jobs; farmers, carpentry or iron smiths.
Naona umemtetea jk saana ila kwa magu unataka kuona kama yeye ndo alkua katiri sana vipi nkisema nae watu wake wa karbu ndo walifanya yy hakuhusika io gs ako nimeosoma pia lakini ukisoma kwa ndaani Kuna exceptional vipi kama jk alkua exceptional kweny jamii ake
Pia niambie nchi Gani imeendelea kwa kufata democracy unayoitaka