RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Hadi 2025, tunabadili gia na tutaendelea nae hadi 2030,Hizi nyuzi za Magufuli kuwa nyingi kulikoni?
hakwepeki, yaani kachukua nafasi ya nyerere ati, JPM the best president in tz ever, kurukaruka kwa maharage ndio mwanzo wa kuiva, acha warukeruke tu, kosa pekee wanafanya ni kumpuuza na kumponda, wange m'bless whuku wakipenyeza agenda zao tungemsahau mapema, lkn kwa miondoko yao hiyo watafeli sana,
Kitu pekee kitawasaidia ni kwa kuwa turn out 2025 itakuwa ndogo sana na watu hawatajali nani kaingia nani kakosa, labda kny ubunge na udiwani kwa maeneo ambayo yanawabunge na madiwani tegemeo.