Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

Hizi nyuzi za Magufuli kuwa nyingi kulikoni?
Hadi 2025, tunabadili gia na tutaendelea nae hadi 2030,
hakwepeki, yaani kachukua nafasi ya nyerere ati, JPM the best president in tz ever, kurukaruka kwa maharage ndio mwanzo wa kuiva, acha warukeruke tu, kosa pekee wanafanya ni kumpuuza na kumponda, wange m'bless whuku wakipenyeza agenda zao tungemsahau mapema, lkn kwa miondoko yao hiyo watafeli sana,
Kitu pekee kitawasaidia ni kwa kuwa turn out 2025 itakuwa ndogo sana na watu hawatajali nani kaingia nani kakosa, labda kny ubunge na udiwani kwa maeneo ambayo yanawabunge na madiwani tegemeo.
 
Mwenye sherehe alikuwa anamjua nn
 
Sherehe gan[emoji23][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Hiyo niliona huko Bukoba kibibi kinakaa nyuma ya mlango hakiendi hata chooni siku nzima
 
Zile zilikuwa ni siasa za kukutanisha watu tu. Hivi kweli unamini mvua zinaweza kuleta na wazee wa dini za jadi kweli?
 
Zile zilikuwa ni siasa za kukutanisha watu tu. Hivi kweli unamini mvua zinaweza kuleta na wazee wa dini za jadi kweli?
Inawezekana kiranga japo huamini uwepo wa Mungu wala shetani ila kuna watu wana nguvu za asili
 
Yule Mzee alikuwa Mchawi Mungu katupishilia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…