Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

Hukulazimishwa kusoma. Huyu dhalim tutaendelea kumsema kwa udhalimu wake na hata kwa mazuri machache tutasema,wewe nani wa kutufunga mdomo?
 
Kumbe dhalim ana mjono kwenye mauti ya yule M'meto toka Msumbiji?
 
Mwendazake amemtumia Mfugale kujineemesha sana.
Tatizo ni kwamba Mgugale hakuweza kukataa majukumu mengine aliyoewa hata kma aikuwa hayapende.

Mfugale kimsingi asilaumiwe kwa uporaji aliokuwa anfanya mwendazake kiwazi wazi.
Mifano iko mingi sana.
 
Du ni shida, tutajifunza mengi kwa utawala ule, naona bado tunataka kuurudisha kwa mlango wa nyuma kwa kisingizio cha ukanda.
 
Mwendazake kaponza wengi, mmoja aliponea chupuchupu dk ya 90 akarudi duniani dadadeq 😀 😀
Ilibaki kidogo asababishe kifo cha kiongozi mmoja kwa kumlazimisha afanye press kudanganya haumwi hili hali kovidi ilikua imemkaba akaanza kukohoa hadi kamera zikazimwa upesi, behind the scene akarudishwa kwenye mtungi wa oxygen kumnusuru.
 
Ilibaki kidogo asababishe kifo cha kiongozi mmoja kwa kumlazimisha afanye press kudanganya haumwi hili hali kovidi ilikua imemkaba akaanza kukohoa hadi kamera zikazimwa upesi, behind the scene akarudishwa kwenye mtungi wa oxygen kumnusuru.
Ila jiwe alikuwa katili sana,alihatarisha maisha ya mtu ili kulinda uwongo wake wa kishamba. Uzuri covid aliyokuwa anaidharau ikaja kumfyekelea mbali.
 
Jpm ana bahati mbaya Sana. Nyerere anasifiwa kila Kona ya nchi na hakuna anayemsema vibaya kwa lolote lakini jpm anaandamwa kila kitu. Hilo ni funzo kubwa sana kwamba tuwsiwe Kama yeye kwa kujitakia sifa at the expense of other's sufferings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…