Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

Ndio maana tunawapinga hii Nchi sio yenu pekee hata sisi Wapumbavu pia ni yetu.

Na huwezi kuuwa kinyume na sheria hii Nchi inasheria zake na katiba

Tutamuunga mkono Samia pale atakapofuata utawala wa sheria na katiba.
Ndio na 2025 hata sisi machadema tutaungana na ccm kumpitisha kwa kishindo Samia ili kumkomoa marehemu jiwe!

Lisu tupa kule yani.
 
What if he mkapa had to be killed ili wahitaji wa kifo Cha Magufuli walahisishe njia? And what if it was a trend ya kuua inner circle wa Magufuli, Why kijazi, Why mfugale, why mahiga?

Oooh COVID19 nilisahau basi yote ni uzushi tuyapuuze yote.

Vipi kuhusu mzindakaya yeye alikufaje? Safari zake/yake ikulu ilibeba nini.

Ogopa scorpion it's deadly scorpion akichukia na kurusha mkojo wake.

Maisha ni yetu tuishi kwa heshima Kwa Jamhuri na state observe ur limits.

Uraisi sio ufalme ukileta ufalme na usaliti unaondoka.

Rwanda was his first country to visit, pumbavu it can't be aliendq kufanya nini na ili iweje Kwa faida ya nani.

No no it against ndio ashaendq maisha yaendelee.

Hizo speculations hazisaidii ndio ashasepa na Mama la Mama yupo anasongesha nchi.

Asiyesikia la Mkuu huzikwa na huzikwa huzikwa kweli maana guu linakuwa lishavunjika na uzima hukaa kwenye guuuuu .... Nahene tata.
Salute kwako
 
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.

Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinfa milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.

Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.

Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.

Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.

Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.

Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.

Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.

Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.

Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.

Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.

Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.

Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni

RIP Mfugale
hayo ni majungu tu kama ulikuwa na chuki binafsi ungeandika hayo wakati yuko hai.angewezaje kuzipa fedha hizo taasisi zilizo jaa majizi matupu.kwani baada ya JPM kufa hizo taasisi ziko salama,zinafanya kazi kwa uadilifu?10% tanroads zimeish au kupungua.Temesa ukiritimba umeisha?mbona hamsemi yale mazuri yake aliyoyafanya mnaandika mabaya tu?
 
Hakuna mwanaccm asiye jizi wa fedha za umma. Wanatofautiana urefu wa wizi tu ila wote majizi matupu.
 
hayo ni majungu tu kama ulikuwa na chuki binafsi ungeandika hayo wakati yuko hai.angewezaje kuzipa fedha hizo taasisi zilizo jaa majizi matupu.kwani baada ya JPM kufa hizo taasisi ziko salama,zinafanya kazi kwa uadilifu?10% tanroads zimeish au kupungua.Temesa ukiritimba umeisha?mbona hamsemi yale mazuri yake aliyoyafanya mnaandika mabaya tu?
Wewe andika mazuri yake sie tuandike upande wa pili ,
 
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.

Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.

Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.

Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.

Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.

Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.

Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.

Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.

Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.

Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.

Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.

Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.

Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni

RIP Mfugale
Siku mkiniambia pesa alikusanya Magufuli zilipo ndio tutaelewana ,bila kuonyesha pesa zilikofichwa na ukizingatia kafa na maadui zake wanapambana kuua legacy yake,kwanini asiumbuliwe kwa wizi wa fedha na mali alizopora?,zipo nchi gani?bongo zenu zimejaa kaswende sugu
 
Subiri tu kila kitu kitaanikwa just a matter of time
 
Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.

Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???

Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Nasikia kuna mambo huwa yanasemwa mtu akifa. Akiwa hai ni BIG NO!

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.

Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.

Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.

Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.

Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.

Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.

Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.

Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.

Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.

Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.

Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.

Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.

Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni

RIP Mfugale
Aliyesema Mfugale alikufa kwa presha nani?
 
Attachments

  • Screenshot_20211029-110122.png
    Screenshot_20211029-110122.png
    234.4 KB · Views: 4
Mkuu

Nadhani unamjibu voicer sio!?Ili kupata legitimacy fulani ya utawala uliopo au ujao mliopanga ninyi wenyewe!?

TumainiEl aliwahi andika Kuwa ni hatari Sana KWA Taifa TISS ikiwa kwenye blocks!!

Kwamba watakuwa loyal KWA ALIEPO,KWA wapinzani,au KWA Mstaafu mwenye NGUVU au KWA mgombea ajaye anaewania na wote kuahidiwa mashavu KWA KILA mhusika anaempigania!!!

Mungu IBARIKI NCHI YANGU Tanzania
 
Mtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.

Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???

Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Acha awakumbushe wote wenye nia kama ya hao aliowataja ili wawe na hofu ya Mungu
 
Hii nyuzi isingekuwa ya maana basi hata wewe usingechangia. Ungesoma na kusepa tu. Lakini umechangia na wengine wanachangia. Kuongea uovu wa Magufuli ni kuitendea haki Tanzania yetu ili baadaye tusije tukazembea tukaleta tena mtu wa HOVYO na MSHAMBA kama Magufuli
Haya wewe mtu WA MAANA NA MJANJA unakipi ambacho umelisaidia hili taifa la watunga maneno
 
Back
Top Bottom