econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Ndioo kipindi akiwa hai hawa wazee wa lamba asali walificha mkia matakon
Saanane na Lissu walijitahidi kusema akaamua kuwaua, Mungu alivyomwema akalinda uhai wa Lissu Kama ushuhuda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndioo kipindi akiwa hai hawa wazee wa lamba asali walificha mkia matakon
Akina Makonda, Sabaya, right?Magufuli alikuwa mbaya kwa wapumbavu, wajinga, mafisadi na wapinzani koko pekee
Kuna kitu kinaitwa critical thinking, na kwenye hicho kitu kuna kitu kimojaMtateseka sana na Magufuli lihali yeye kashalala kwenye usingizi wa maisha.
Mods nyuzi kama hizi nikujaza Sever utumbo na mavi.
Leo hao wote ni marehem sasa uzi huu una faida gani kwa hivi leo...???
Magufuli amekuwa wimbo kah.
Kwani shida iko wapi...???
Mods nipeni kitengo cha Ban niwalambe majinga jinga kama huyu mtoa hoja.
Jamaa wa hovyo sana Mkuu, tunachotaka ni balance, CCM walete hoja zao mezani na wapinzani walete hoja zao mezani, wananchi waamue wanataka nini, bila upendeleo wowote, hicho ndicho cha kupigania, mengine ni makelele tu ya kusaka chakulaUchaguzi Mkuu tutasimamisha mgombea wetu wa Wapumbavu, wewe presha ya nini?
Hali mbaya chiefHivi Kakoko yupo anaendeleaje,yupo wapi
Haya hua hayapiti. Miaka na miaka, kizazi na kizazi. Kisasi kikipoa ndio hua kitamu zaidi kuseviwa. Kwasasa tunachoweza kusema ni viongozi wetu waliokufa kwa hila za binadamu wapumzike kwa amani.Lakini yote hayo yamepita sasa Tanzania ipo katika mikono salama ya Rais Samia Suluhu
Alipoitwa kuhojiwa hizi Hela ulitoa wapi, akafa kwa pressure ,hata daraja la Busisi yeye ndiye alichora, lazima Kuna upigaji, Standard Gauge, Umeme wa Rufiji, yaani tanroad ilifanya Kila kituPamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.
Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.
Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.
Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.
Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.
Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.
Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.
Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.
Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.
Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.
Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.
Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.
Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni
RIP Mfugale
Unadhani Magufuli alikuwa hajui kama jamaa anapiga,alijua ila akamlinda,matokeo ya kulindwa ndio hayo akawa amemponza mwenzake,Alipoitwa kuhojiwa hizi Hela ulitoa wapi, akafa kwa pressure ,hata daraja la Busisi yeye ndiye alichora, lazima Kuna upigaji, Standard Gauge, Umeme wa Rufiji, yaani tanroad ilifanya Kila kitu
Nimelipa Kodi ya PAYE wakati nikilitumikia Taifa. Hiyo inatosha kunifanya raia mwemaHaya wewe mtu WA MAANA NA MJANJA unakipi ambacho umelisaidia hili taifa la watunga maneno
Magufuli alikuwa mbaya kwa wapumbavu, wajinga, mafisadi na wapinzani koko pekee
NdiooAlikuwa mzuri kwa wanaomtegemea.
Basi mmefiwa na mganga sasa.Ndioo
Kabisa!Basi mmefiwa na mganga sasa.
Kabisa!
Aliganga umeme,
Maji
Bei za bidhaa
Alikuwa mganga mzuri sana
Uongo kama hata Mbowe akiusoma atacheka sanaMaji yalikuwepo kwa neema za Mungu, maana hata yeye ukame ulipotokea bado maji hayakuwepo. Mgao wa umeme ulianza rasmi mwaka wake wa mwisho, ufahamu hilo kwani kumbukumbu bado tunazo.
Ushawahi ona ile picha bwana pompeo alipoona kumpa pole mke wa lupaso?, Yule maza alivyokua anamkong'otea pimpeo kwa jicho kali? 😒Kuna nyepesi wakamwondoa Mzee wa Lupaso ili wachezee Katiba - mambo yakagonga mwamba, mwendazake akaondoka na wafuasi wake kwa sasa wanashikilia bomba - aisee haya mambo kwa kweli, mwanadamu kujua kesho yako ni fumbo na hapa ndipo Mwenyezi Mungu alicheza pele.
Uongo kama hata Mbowe akiusoma atacheka sana
Umegicha nini kusema kampuni ya Pompeo ndio iliojemga uwanja ule inaitwa mayangaPamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.