Lilijenga nini sasa wakati lilipokufa liliacha deni la taifa trillions kadhaa. Jamaa lilikuwa bure tu hakuna chochote lilichofanya ispokuwa kujaza vyoo vya magogoni tuuKapora pesa nyingi sana,aliposrma tunajenga kwa pesa za ndani ndio hizo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lilijenga nini sasa wakati lilipokufa liliacha deni la taifa trillions kadhaa. Jamaa lilikuwa bure tu hakuna chochote lilichofanya ispokuwa kujaza vyoo vya magogoni tuuKapora pesa nyingi sana,aliposrma tunajenga kwa pesa za ndani ndio hizo sasa
Mataifa yaliondelea huwa hawana muda na kupoteza na mpuuzi mmoja mwenye kujenga viashiria vya uvunjifu wa Amani.Fafanua vizuri. Kupotezwa Saa8 na Azory kunalinusuru taifa kivipi au dhidi ya nini?
Creatical is nothing if the outpost doesn"t effects our good to us.Kuna kitu kinaitwa critical thinking, na kwenye hicho kitu kuna kitu kimoja
1. Reasoning
Akili za kijinga hizo. Maisha ya mwanadamu sio kama mbuzi zizini. Kama mtu kakosea kuihujumu nchi sheria zipo na zifuatwe ashtakiwe sio kuvunja sheria kwa siri kumuazibu.Kupoteza mmoja mmoja kwa ajili ya Taifa hakuna shida.
Ni ni bora kugonga Bodaboda mmoja kwa ajili ya kunusuru ajali ya buss na kuua abiria wote.
Ila mambo ya utawala ni hatar sana yaan watu kuuwa wenzao wanaonaga simple tuHuyo walimuua, hakuna cha pressure wala nini ...!!
NdiyoImeandikwa
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.
Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.
Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.
Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.
Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.
Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.
Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.
Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.
Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.
Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.
Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.
Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.
Sono
Nani kakutuma?. Wajinga tu ndo wataamini huu upuuzi.na inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni
RIP Mfugale
Tulia dada kuwa mpole royotuwa itakuja SSH akishatoka madarakaniNani kakutuma?. Wajinga tu ndo wataamini huu upuuzi.
Nilikuwa ninaamini inawezekana ipite siku moja hajaongelewa magufuli kumbe haiwezekani.
Haya mjuzi wa mambo tuelezee na royo tuwa ikawaje............
Unazungumza vitu usivyovijua jomba...Bora hata ungemuuliza hayo Rais wetu mama ambaye alikiri kuwa viatu vya Magufuli hawez kuvivaa..ni mkweli ambaye kwa ukweli huo ameendelea kutuongoza vyema sanaOndoa Mkapa hapo. Mkapa kufa kwake kuna mkono wa Magufuli. Mkapa alishakuwa mwiba kwa Magufuli kuhusu kuondoa ukomo wa muda wa kutawala wa miaka mitano kwa vipindi viwili. Mkapa alikwisha weka wazi msimamo wake juu ya katiba na Tume Huru ya Uchaguzi. Hivyo vitu vilikuwa vinamkera magufuli
Kama sheria zipo mbona Putin yuko pale Moscow anaua kama njugu na hamsogei kumkamata.Akili za kijinga hizo. Maisha ya mwanadamu sio kama mbuzi zizini. Kama mtu kakosea kuihujumu nchi sheria zipo na zifuatwe ashtakiwe sio kuvunja sheria kwa siri kumuazibu.
Ndio maana hata kifo cha jiwe inasemekana ni kuiponya nchi, lakini kama kuna anayehusika tunasema sheria ichukue hatamu kwani kama alikuwa tatizo zipo njia za kumtoa madarakani
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] hizi ni taka sasa!Kama sheria zipo mbona Putin yuko pale Moscow anaua kama njugu na hamsogei kumkamata.
Usilojua ni usiku wa kiza. Pumzika kwa amani MfugaleSabaya anajuta kumfahamu magufuli
Mithali 10:7Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na sifa moja, akikupenda na kukuamini utakula mema ya nchi na atakulinda, hakuwa kigeugeu ila akikuchukia imekula kwako.
Hakuwa mnafiki kujifanya anakupenda wakati hakupendi,
Marafiki zake walimpenda kwa hilo walijiaminisha kuwa atawalinda milele kwa lolote ambalo lingetokea wakasahau maandiko matakatifu kuwa amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu.
Mmoja kati ya marafiki wa Magufuli alikuwa bwana Mfugale. Kiasili huyu bwana hakuwa fisadi, alikuwa mtu msafi ndio maana Magufuli alimpenda.
Mara kadhaa aliomba kustaafu ila alikataliwa na Magufuli maana kama nguvu alikuwa nazo na bado Taifa lilihitaji msaada wake.
Tatizo likaja ni kuwa Magufuli alifanya Tanroads kama kampuni yake kupatia humo akatengeneza madili mengi sana na akaipa kazi zisizokuwa za kwake kiasili, mfano usimamiaji na ununuzi wa mitambo ya kiwanda cha sukari Mkulazi cha mkoani Morogoro. Hii kazi ilipaswa kusimamiwa na TAMESA ila ikaagiea Tanroads waifanye, bilioni 68 zikapotea kimiujiza.
Pili uwanja wa ndege wa Chato uliotakiwa kusimamiwa na mamlaka ya viwanja vya ndege nchini jukumu hilo akapewa Tanroads ya Mfugale.
Bajeti ya awali ya uwanja ilikuwa sh bilioni 17.79 lakini mpaka uwanja unakamilika ilitumika bilioni 52.32 mara tatu ya bajeti, kiasi cha zaidi ya bilioni 34.
Nani angethubutu kuhoji matumizi hayo mbele ya John Pompeo.
Miezi michache baada ya Magufuli kufariki ndio mamlaka husika zikaanza kuimulika na kuomba ufafanuzi wa matumizi ya Tanroads.
Madudu yaliyoibuliwa huko ni mengi sana, yalikuwa yanaenda kuharibu heshima ya mzee Mfugale aliyoijenga kwa miaka mingi.
Siku chache kabla ya Mfugale kufariki iligundulika kuwa Tanroads ilifanya malipo mara mbili kwa kampuni fulani ya ujenzi kwa kazi moja yaani double payment.
Mzee wa watu akaingia kwenye sonona akajilaumu bora angestaafu mapema akalea wajukuu kuliko kuingia kwenye kashfa ambazo alikuwa tu akipokea maelekezo toka kwa mwendazake.
Sonona inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni
RIP Mfugale
Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?Unazungumza vitu usivyovijua jomba...Bora hata ungemuuliza hayo Rais wetu mama ambaye alikiri kuwa viatu vya Magufuli hawez kuvivaa..ni mkweli ambaye kwa ukweli huo ameendelea kutuongoza vyema sana
Sheria zingine zinatucheleweshaaaaaAkili za kijinga hizo. Maisha ya mwanadamu sio kama mbuzi zizini. Kama mtu kakosea kuihujumu nchi sheria zipo na zifuatwe ashtakiwe sio kuvunja sheria kwa siri kumuazibu.
Ndio maana hata kifo cha jiwe inasemekana ni kuiponya nchi, lakini kama kuna anayehusika tunasema sheria ichukue hatamu kwani kama alikuwa tatizo zipo njia za kumtoa madarakani
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hehehehe hiyo ndio definition ya mama Samia kumbe..nilikuwa sijui..uliongea nae lini..Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?
Samia atavaa viatu vyake tu
Heeee kumbe?Kuna nyepesi wakamwondoa Mzee wa Lupaso ili wachezee Katiba - mambo yakagonga mwamba, mwendazake akaondoka na wafuasi wake kwa sasa wanashikilia bomba - aisee haya mambo kwa kweli, mwanadamu kujua kesho yako ni fumbo na hapa ndipo Mwenyezi Mungu alicheza pele.