Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

Nauliza, report wakati wa Magufuli, ilieleza viongozi gani (list )walokutwa na hatia?
 
Jpm alitumia njia ya wale majamaa wasiojulikana , TISS , kuwekana kwenye viroba, DPP,
Plea bargain , Mahakama ya mafisadi mbinu ambazo aliona ni mbadala wa CAG baada ya kutofautiana na PROF ASSAD mbinu ambazo ndo alipigwa Hela nyingi kuliko na so far serikali na Taifa likakosa utawala bora
 
VILE WAKEREKETWA TUNAPITA KWENYE HII THREAD
 
Unahalalisha wizi na uzembe serikalini, atleast wakati wa Magufuli nidhamu ilikuwepo, sio sasa hivi wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao.
Wizi uliasisiwa na awamu ya Tano kutokana na uvurugaji WA taratibu za manunuzi na kufanya mambo ya Serekali kama ya familia
 
JPM aliifuatilia hiyo pesa iliyoibiwa na kuirudisha serikalini. Mkamuona hafai kwani anachukuwa pesa za watu, alirudisha tu kilichoibiwa.
 
Hivi mnatumwaga na mafisadi kuja kumsakama jpm humu jf?
 
Kwamba majizi ya sasahivi yasisumbuliwe kwa sababu kipindi cha Magufuli hakufungwa? Mnalipwa ngapi na mafisadi kuja kuanzi hizi uzi za kumsema sema marehemu Magufuli asiyeweza kuwajibu kitu?
 
Mnatumia nguvu sana kumtetea huyu mamaenu
 
Hebu nicheke REPORT ya CAG HAIWEZI KUMFUNGA YOYOTE kwa TANZANIA
 
Unahalalisha wizi na uzembe serikalini, atleast wakati wa Magufuli nidhamu ilikuwepo, sio sasa hivi wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao.
Nidhamu ya Ma DC kusweka watu ndani na kupora biashara za watu?
 
Kama
Kwamba majizi ya sasahivi yasisumbuliwe kwa sababu kipindi cha Magufuli hakufungwa? Mnalipwa ngapi na mafisadi kuja kuanzi hizi uzi za kumsema sema marehemu Magufuli asiyeweza kuwajibu kitu?
KAma wezi wa magufuli hawakufungwa na bado wapo kwa nini wasasa hivi wafungwe?
 
Kwani serikali ndo imamfunga mtu au ni mahakama .hata na hivyo jpm alijua kudeal nao kwanza warudishe kilicho cheti kwanza hatakama mahakaM itamwachilia poa tu
 
Unahalalisha wizi na uzembe serikalini, atleast wakati wa Magufuli nidhamu ilikuwepo, sio sasa hivi wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao.
Lakini the point stands JPM hakuwahi mfunga mtu kutokana na ripoti ya CAG. Alikua anatoa povu kwa Tv ila anawapotezea. Mfano Kangi Lugora alikua na kesi ya kuomba rushwa kupitia kamati ya maendeleo ya jamii. Cha kushangaza akateuliwa uwaziri. Huu unafiki upo CCM miaka yote sio JK ,sio JPM sio Samia. Tusiigize kana kwamba huu ndio ufisadi wa kwanza kutokea Tanzania. Unfortunately watu mnaamini Mpina sijui Bashiru ndio watatutetea.
 
Wizi uliasisiwa na awamu ya Tano kutokana na uvurugaji WA taratibu za manunuzi na kufanya mambo ya Serekali kama ya familia
Wengi wenu mna ujinga mwingi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…