Hayati Magufuli aliwahi kumfunga kiongozi yoyote kutokana na ubadhirifu kwenye ripoti ya CAG?

Ukimuondoa Sabaya, DC yupi mwingine alifanya hivyo?!

Hujui hata maana ya "ma" zaidi ya kujiliwaza tu.
Sabaya, Odunga, Byakanwa, Hapi, Makonda, Mnyeti etc
Hawa walikuwa wanaweza kumuweka mtu yoyote ndani kwa sababu yoyote kwa muda watakaotaka
 
Tehetehe, alifanikiwa "kuwazuga" wajinga wengi sana
90% ya Watanzania ni wajinga. Wanaamini wanachoambiwa na Serikali. Na hao walikuwa ndiyo mtaji wa Magufuli na akawabatiza jina kwa kuwaita "WANYONGE". Ndiyo hao mpaka leo wanamuita "shujaa" au "mwamba"


Very STUPID
 
Kwani serikali ndo imamfunga mtu au ni mahakama .hata na hivyo jpm alijua kudeal nao kwanza warudishe kilicho cheti kwanza hatakama mahakaM itamwachilia poa tu
Kiongozi yupi wa serikali aliyerudisha hela?

Kama Rais hafungi mtu kwa nini Sukuma Gang mnajidai kulaumu uongozi wa sasa kuwa unalea viongozi mafisadi?
 
Kiongozi yupi wa serikali aliyerudisha hela?

Kama Rais hafungi mtu kwa nini Sukuma Gang mnajidai kulaumu uongozi wa sasa kuwa unalea viongozi mafisadi?
Mnajizima data kwa makusudi aisee .magufuli ndo huwa anafunga au mahakma nyie si ndo mnasema ni dikteta
 
Hajawahi Bora hata Samia amekamata ma DED 2 mmjawapo anashitakiwankwa wizi akiofanya awamu ya Magufuli πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…