Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
View: https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm
Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi
Alikuwa kwenye ziara na wananchi waliomba kupanuliwa kwa barabara, bahati mbaya au nzuri ni mama ndiye aliyefikisha ombi hilo, basi Magufuli akamuuliza "unataka kupanuliwa wapi?"
Nikitafakari haya huenda aliyoandika Kabemdera yana ukweli