Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Story yenyewe umehadithiwa au umekutana na clip iliyokatwa basi ukawahi kufungua uzi.Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi
Alikuwa kwenye ziara na wananchi waliomba kupanuliwa kwa barabara, bahati mbaya au nzuri ni mama ndiye aliyefikisha ombi hilo, basi Magufuli akamuuliza
Kwa hiyo watoto wanaelewa maana ya kupanuliwa? Mwacheni Baba wa watu. Subiri zamu yako nawe usemwe
View: https://youtu.be/LGCNOc6eG_w?si=gbdLTmuHV9065Hfm
Nakumbuka Magufuli aliwahi kuongea matusi ya ajabu kwenye Tv nikiwa naamgalia Tv na wanangu hadi nikakosa pozi
Alikuwa kwenye ziara na wananchi waliomba kupanuliwa kwa barabara, bahati mbaya au nzuri ni mama ndiye aliyefikisha ombi hilo, basi Magufuli akamuuliza "unataka kupanuliwa wapi?"
Nikitafakari haya huenda aliyoandika Kabemdera yana ukweli
Umeona ee wamemmiss π π π πJPM anapendwa sana
Mbona zilikuwa jokes tu zile? Mnakuza sana mambo ninyi
Na unaona ni sawa baba aya!Story yenyewe umehadithiwa au umekutana na clip iliyokatwa basi ukawahi kufungua uzi.
Wale ni wafanyabiashara ndogondogo walioomba kupanuliwa/kuongezwa eneo la soko na ndo kwa utani JPM akawauliza kwahiyo hapa nyie mnataka kupanuliwa tu!? Wakajibu ndiyo Baba
Kwa nini umehisi ni za kingono? Au umewaza ni za kingono? Kupanua kunahusiana vipi na ngono? Au wewe unawaza sana ngono Sheikh wangu? Ukitaka kula lazima uliwe... Alisema Kikwete.Jokes za kingono kwa mama mtu mzima siyo sawasawa
Kusema Unataka "kupanuliwa" wapi ni tofauti na kusema unataka "ipanuliwe" wapi.
Kiufupi Jiwe alileta mambo ya ngono kwenye kauli.
Jokes za kingono kwa mama mtu mzima siyo sawasawa
Kusema Unataka "kupanuliwa" wapi ni tofauti na kusema unataka "ipanuliwe" wapi.
Kiufupi Jiwe alileta mambo ya ngono kwenye kauli.