Duh 🤣Chadema ni kubwa kuliko Magufuli
SiachiAcha ujinga.
Naomba kesho nikukute Milembe tafadhaliAcha uzushi
Masijala kabisa [emoji23]Naomba kesho nikukute Milembe tafadhali
Chadema ndiyo imeanza kurudi kwenye msingi, zile enzi za ujinga wa kupinga kila kitu wameziacha
Ukiongelea list of shame nakama unamjua lowasa ndio utaelewa mleta mada anamaanisha nini.Nadhani wewe ni mtoto sana hujui hata The List [emoji406] of Shame. Laiti ungeijua usingethubutu kuuweka utoto wako wa kifikra mahali hapa
Mtaongea yote mwaka huu.. Maana zile tabiri za CHADEMA kufa hatuzisikii tenaChadema ndiyo imeanza kurudi kwenye msingi, zile enzi za ujinga wa kupinga kila kitu wameziacha
Mngeendelea na huo ujinga wa kupinga kila kitu mpaka hata miradi ya maendeleo yenye manufaa kwa wananchi unadhani mngebaki?Mtaongea yote mwaka huu.. Maana zile tabiri za CHADEMA kufa hatuzisikii tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaongea yote mwaka huu.. Na bado more vicious pressure is on the way.. Mpaka mliteme bungoMngeendelea na huo ujinga wa kupinga kila kitu mpaka hata miradi ya maendeleo yenye manufaa kwa wananchi unadhani mngebaki?