UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Mliyekuwa mnampinga kwa kila kitu sasa ndo amegeuka kuwa shujaa wenu wa kutolea mfano kwa uzalendo wake. Tuliwaambia mapema, pingapinga siyo mtaji wa kisiasa, lakini hamkusikia. Sasa mnakula matapishi yenu.Mtaongea yote mwaka huu.. Na bado more vicious pressure is on the way.. Mpaka mliteme bungo
Sent using Jamii Forums mobile app