Hayati Magufuli aliwakomaza vyema CHADEMA sasa wametambua umuhimu wa kupinga ufisadi ili kulinda rasilimali za umma

Mtaongea yote mwaka huu.. Na bado more vicious pressure is on the way.. Mpaka mliteme bungo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mliyekuwa mnampinga kwa kila kitu sasa ndo amegeuka kuwa shujaa wenu wa kutolea mfano kwa uzalendo wake. Tuliwaambia mapema, pingapinga siyo mtaji wa kisiasa, lakini hamkusikia. Sasa mnakula matapishi yenu.
 
Hayati Magufuli anawabania wapi CDM?! Maajabu ya waliokuwa sukuma gang, hayati anawezaje kubana waliohai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…