johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli hayati Magufuli aliwapenda sana na kuwavumilia Chadema vinginevyo mh Mutungi angekifutilia mbali.
CHADEMA na viongozi wenu msipofuata agizo la mwenyekiti Mbowe kwamba muache Mihemuko, Uzushi na Uchochezi basi chama chenu hakika kinaweza kufutwa kwenye daftari la Msajili wa vyama vya siasa.
Ni angalizo tu
Mtanikumbuka