johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata marehemu Mkapa alisema hivyo hivyoCDM kufutwa au kufa wewe si wa kwanza kutamka..!! Wasira ni mmojawapo kati ya waliowahi kusema hayo..!! Lakini hadi leo CDM bado ipo..
Ni angalizo tuHaya CHADEMA imekufa furahi sasa
IKifa wewe upo CCM kuna tatizo?Ni angalizo tu
Siasa siyo uaduiIKifa wewe upo CCM kuna tatizo?
No acha ife wewe ubaki CCMSiasa siyo uadui
Ni ushauri tu kea Jirani
Katibu Lumumba mankaNo acha ife wewe ubaki CCM
Sikumaanisha hakuna wachochezi na wazushiWewe umeshasau mara hii ni hata masaa ishirini na nne hayajapita
Ulisema Tanganyika hakuna Wapinzani"
😆
Au unajikomba kwa Shaka Asubuhi ili upate Mwamala wa kupitia Kitoweo?Sikumaanisha hakuna wachochezi na wazushi
Wapinzani walikuwa akina Masanja Tumbo
Tukio hapa Mtambani pamoja na Mnyika na Ben tunagonga supu ya KongoloAu unajikomba kwa Shaka Asubuhi ili upate Mwamala wa kupitia Kitoweo?
Mpuuzi wewe umelipwa posho zako zoteKatibu Lumumba manka
Bila Magufuli Chadema ingekufa kitamboMagufuli alitamani chadema ife lkn badala yake kafa yeye
CCM hakuna viporo tofauti na ufipa posho hadi muende kwenye MaridhianoMpuuzi wewe umelipwa posho zako zote