Hayati Magufuli aliwapenda sana CHADEMA, vinginevyo angekifutilia mbali. Ila kwa sasa kinaweza kufutwa na Msajili wa Vyama

Hakuna chama chenye wanachama wagomvi kama chama chako cha CCM wanadiriki kusema Kuwa watu tukiwakosa kwa risasi tunawamaliza kwa sumu na wala hawachukuliwi hatua yoyote. CDM mnawaogopa kwa Kuwa ni chama kinawachallenge sana mnataka vyama kama vya akina dovutwa mviburuzwe kwa CHADEMA haburuzwi mtu. kitandani kuiba kura tu ila ushindi wa chee Chee hamtapata.Na wala hamuwezi kukifuta.
 

Mutungi atakufa na kuiacha CHADEMA. Kama Magufuli alivyoiacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…