johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo ni wazi kabisa bwasheeKwa jinsi chadema walivyo Uviko 19 wakimaliza ubunge wao wa mchongo watarudi chaman kwa kuomba samahan na watakubaliwa na kupewa majimbo ya kugombea 😂
Siasa Siyo Uadui mwagitoBora umewashitua Mwagito. Wasije wakasema hawakujua
Ungemwelewesha mwendazake sasaSiasa Siyo Uadui mwagito
Ni kweli, shetani anawajua watu wake na hata wafanye juhudi gani za kujikwamua lazima watarudi tu nyumbani. Dr. Slaa alijaribu kumkimbia shetani, Lowassa alijaribu kumkimbia shetani na hata Sumaye naye alijaribu kumkimbia shetani lakini mwisho wa siku...all chickens do come back home to roost?Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original.
Ni kweli kabisaTena kweli kila mwelevu anatamani tuwe na upinzani imara na sio vyama pinzani kujaa mandumilakuwili hapana hatuendelei
Endelea kukaririYaani Kila ukiamka unaanzisha thread.
Hivi unatunza record ya thread ulizowahi anzisha? Sijawahi ona ukiziquote kama reference popote!!!
Jukwaa linadhalilishwa sana na watu aina Yako bwashee!!
Asante Jo kwa haraka,Ila je wewe uliangukia kundi lipi😄Au nasema Uwongo ndugu zangu.
Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original.
Sasa utakuta 2025 Chadema inaenda tena CCM kuomba mamluki wa kugombea Urais na Ubunge ili kudumisha Maridhiano.
Akili za Chadema ni afadhali hata za Mwendawazimu wakati mwingine.
J3 Ubarikiwe sana.
Mbona unaongea kama Abunuwasi alipotaka ruhusa ya mfalme kumpiga rungu mwizi wa wali wake? Umejuaje kuwa CHADEMA wataenda kuomba mgombea toka CCM 2025? Au ndio unawashauri kinamna wasifanye hivyo? 😃Au nasema Uwongo ndugu zangu.
Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original.
Sasa utakuta 2025 Chadema inaenda tena CCM kuomba mamluki wa kugombea Urais na Ubunge ili kudumisha Maridhiano.
Akili za Chadema ni afadhali hata za Mwendawazimu wakati mwingine.
J3 Ubarikiwe sana.
Kweli tupu mamluki wote hawapoAu nasema Uwongo ndugu zangu.
Vibaraka wote wenye vinasaba vya CCM hayati Shujaa Magufuli aliwatwaa na kuwarejesha Lumumba na kuiacha Ufipa st na Makamanda original.
Sasa utakuta 2025 Chadema inaenda tena CCM kuomba mamluki wa kugombea Urais na Ubunge ili kudumisha Maridhiano.
Akili za Chadema ni afadhali hata za Mwendawazimu wakati mwingine.
J3 Ubarikiwe sana.
Wewe huijui ChademaWewe hili fuvu linahifadhi makamasi badala ya ubongo. Wazazi wako hiyo hela waliyokusomeshea bora wangefungia nguruwe tu.