Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NA CCM IMRUDISHE HAYUPO MBALI YUPO CHATTLEUnaweza kudhani hayati Shujaa Magufuli alikuwa anataka kujiongezea muda wa kukaa madarakani kumbe siyo Wananchi wa Dunia ya sasa ndio wanapenda aina ile ya Viongozi
Netanyahu karudishwa na Wananchi
Lula karudishwa na Wananchi
Trump atarudi
Boris Johnson atarudi
Rip Shujaa Magufuli
Eti shujaa 🤣🤣🤣🤣Unaweza kudhani hayati Shujaa Magufuli alikuwa anataka kujiongezea muda wa kukaa madarakani kumbe siyo Wananchi wa Dunia ya sasa ndio wanapenda aina ile ya Viongozi
Netanyahu karudishwa na Wananchi
Lula karudishwa na Wananchi
Trump atarudi
Boris Johnson atarudi
Rip Shujaa Magufuli
Trump ni mwehu kama huyu shujaa wako!Magu alikuwa famba tu acha kumfananisha na watu wenye akili