Tumeambiwa Chato itatangazwa kuwa mkoa ili kumuenzi Magufuli Mara tu vigezo vitakapokamilika.
Lkn hebu tujiulize , rais Magufuli anaenziwa kwa maana halisi ya kuenziwa?
1. Banda la kaburi lake limerekebishwa na kujengwa vizuri baada ya watu kupiga kelele ktk mitandao. Huku ndiyo kumuenzi?
2. Mbunge wa hapo hapo Chato ametumbuliwa uwaziri wiki chache kabla ya tukio la leo. Kuna nn?
3. Sera, misimamo na mikakti yake ya kiuongozi mingi imetupwa ama kupindishwa. Anenziwa ktk lipi. Mfano, hakuamini ktk chanjo ya korona, hakutaka machinga wabugudhiwe, hakutaka mafisadi waachiwe, hakutaka wanyonge walipe tozo,n.k. Anaenziwa ktk lipi??
4. Viongozi wengi waliowekwa na Magufuli ndani na nje ya chama wanaondolewa ktk nyadhifa zao. Sasa Magufuli Anaenziwa ktk yapi?
5. Maguli alikuwa katili asiye na simile. Wakati wake watu waliteswa, walipigwa risasi hadharani, walitekwa, waliuawa na Uhuru wa habari ulibinywa vilivyo. Leo tunaona haya yote yakiwa yamepungua na mengine yameondoka kabisa. Anaenziwa ktk lipi?
6. Magufuli alikuwa mlinzi wa mali za umma lkn hivi sasa watu wanakula kadri ya urefu wa kamba zao. Anaenziwa ktk lipi?