Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Naunga hoja, alikuwa na mapungufu yake kama mwanadamu, lakini yote hayo aliyafanya kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Ni mazuri mengi zaidi amefanya
 
Magufuli huwezi linganisha na baba wa Taifa,na mbinguni aliingia kwa uraini mno kwa ajili matendo yenye matumaini.magufuli atahangaika sana kuuona ufalme wa mbingu kwa ajili ya matendo maovu aliyoyaacha.
 
Ungekuwa mwanangu wewe ningesimamisha zakari yangu analafu naipigisha kwenye jiwe nakuwanimekulaani.
 
Pole mjane, muombee Mungu amuepushe na adhabu ya Jehenamu huko alipo.
Asante mtume na nabii nakuona hupo peponi umekalia kiti cha enzi cha Mungu unakijambia tu
 


Kampeni uchief wa wasukuma kwanza!
 
Baba wa Taifa wa Pili toka Nyerere hili nalo wazo ametumia haki yake ya kikatiba kusema. Na huu ndio mwisho wake wa kuwaza hakuna hoja nyingine zenye mashiko ya kuliendeleza Taifa ila kuweka Baba wa pili nani kakueleza Watanzania wanahitaji baba wa pili wakambo au? Tumwache alale salama huku aliko.
 
Mwl.Nyerere alikuwa ni muumini wa katiba kweli kweli.

Je shujaa aliamini uwepo wa katiba?
 
Hana SIFA HIYO Tanzania tuna Baba Wa Taifa mmoja tu Nae ni
NYERERE
 

Tuache mapenzi ya kinafiki kuna baba mmoja wa Tanganyika Nyerere na Zanzibar Karume. Hakuna baba wa pili au wa tatu RIP Magufuli
 
Ukimuita wewe baba wa pili baada ya babako inatosha tusilazimishane kuwa na mababa wasiotustahili

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Tuache mapenzi ya kinafiki kuna baba mmoja wa Tanganyika Nyerere na Zanzibar Karume. Hakuna baba wa pili au wa tatu RIP Magufuli
Mbona Korea Kaskazini wanae?, sio lazima kukariri kuwa lazima awe mmoja
 
Pumbavu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…