Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

Kunamijitu huwa inakera heshma ya baba wa taifa alipewa kwakuudai Uhuru wetu sasa huyo mpush mwenzio kafanya nini chaajabu zaidi ya kukusanya fedha kwa mabavu,kuvamia accounts za watu hadi vituo vinavyosaidia yatima na kuchkua pesa,wajeda kuvamia maduka yakubadili pesa no. Kisha kujengajenga!!
 
baba wa taifa la chato au sukuma gang mkitaka lakini kwa Tanzania? Never on 🌎 to the Tzu hitler!!!
 
Labda huna baba hau hujui maana ya baba. Kwa nini nyerere anaitwa baba wa taifa? Kwa sababu alipigania Uhuru wa nchi hii likazaliwa taifa linaloitwa leo Tanzania. Sasa huyo pombe amezalisha taifa gani?
 
Labda taifa la chato
 
Umeme kila siku ulikuwa unakatika si chini ya mara tano kwa siku hivi ninyi watu ni vipofu eti,umeme unasumbua kila siku wewe unakuja na hoja mfu kuwa umeme hausumbui,kumbe kuwa ccm ni upumbavu nimeamini.
 
Umeme kila siku ulikuwa unakatika si chini ya mara tano kwa siku hivi ninyi watu ni vipofu eti,umeme unasumbua kila siku wewe unakuja na hoja mfu kuwa umeme hausumbui,kumbe kuwa ccm ni upumbavu nimeamini.
Tulia, acha matusi. Jenga hoja. Naomba unipe wasifu wa Magufuli?
 
Mwendo kasi kajenga yeye?!
Barabara ziko vizuri unamaanisha nini? Kwamba kabla yake barabara hazikuwepo ilikua ni mwendo wa rough roads? Na maji na umeme hahahhaha

Kuna tofauti ya kujenga na kuzindua.
Hongera kwa BWM na JK waliofanya mambo makubwa bila kelele
 
Vipi kuhusu umeme,maji ulikuwa unayapata. Ukienda ofisi za serikali ulikuwa unasikilizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…