Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo vya afya na hata mabarabara . Mfano ni Hospital ya rufaa mkoa wa Mara ambayo toka mwaka 1972 ilikuwa haijakamilika.
Sasa hizi habari za tozo za line ya simu zinatoka wapi? Mbona aliweza kujenga nchi pasipokuwa na tozo za ajabu ajabu.
Ina maana mapato yamepungua kiasi cha kila siku kuibua tozo za kila namna?
Hii nini sasa?
👇