Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo vya afya na hata mabarabara . Mfano ni Hospital ya rufaa mkoa wa Mara ambayo toka mwaka 1972 ilikuwa haijakamilika.
Sasa hizi habari za tozo za line ya simu zinatoka wapi? Mbona aliweza kujenga nchi pasipokuwa na tozo za ajabu ajabu.
Ina maana mapato yamepungua kiasi cha kila siku kuibua tozo za kila namna?

Duuh basi hao vijana wanapaswa kupongezwa sana maana jitihada zao ndio zilifanya nchi ilipe madeni yake, serikali ijiendeshe,mishahara ya wafanyakazi ilipwe,madaraja yajengwe,zahanati,madarasa,barabara,flyovers ,sgr,stiglers ndege zinunuliwe. Aah.
Hao ni vijana wawili tu. Inashangaza sana shujaa wa Taifa kuendelea kusota mahabusu kwa kesi za kubumba.
Hayati Magufuli akiwa kama rais wa nchi alileta mabadiliko makubwa juu ya ukusanyaji mapato kwenye taifa letu. Pesa nyingi ilikuwa ikipotea mikononi mwa watu wachache. Akaamuru mapato yote yawe yanaingia mfuko mkuu wa serikali. Na hapo akawa amepatia akafanya makubwa. Akajenga hospital, vituo vya afya na hata mabarabara . Mfano ni Hospital ya rufaa mkoa wa Mara ambayo toka mwaka 1972 ilikuwa haijakamilika.
Sasa hizi habari za tozo za line ya simu zinatoka wapi? Mbona aliweza kujenga nchi pasipokuwa na tozo za ajabu ajabu.
Ina maana mapato yamepungua kiasi cha kila siku kuibua tozo za kila namna?
Duuh basi hao vijana wanapaswa kupongezwa sana maana jitihada zao ndio zilifanya nchi ilipe madeni yake, serikali ijiendeshe,mishahara ya wafanyakazi ilipwe,madaraja yajengwe,zahanati,madarasa,barabara,flyovers ,sgr,stiglers ndege zinunuliwe. Aah.
Hao ni vijana wawili tu. Inashangaza sana shujaa wa Taifa kuendelea kusota mahabusu kwa kesi za kub