Magufuli kiukweli aliharibu tu pale alipowapa nguvu TRA kuingia mpaka kwenye akaunt za watu. Lakini kwa mambo mengine bonge moja la kiongozi. Kwa upande wa ccm tutasubiri sana kupata kama yeye. Na kwa hapa Tz alizidiwa na Mbowe tu kwa maarifa,uongozi bora,hekima na busara. Lakini humo ndani ya ccm hayupo hata wa kumfikia nusu ya Magufuli
Ona tu ujenzi wa miundombinu aliyoijenga ndani ya muda mfupi.
Na ndio maana bado mzimu wake unawawewesesha sana ccm na bunge.
Ndio maana kwa sasa nchi nyingi inafuata falsafa za Magu kuhusiana na corona.