Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni vigeugeu na wasaliti waliokubuhu
Mnakubaliana jambo wote lakini wote wanasaliti na kwenda kinyume ndio maana Tanzania inasuasua sana kwenye maendeleo
Tatizo hili ndilo lililomchukiza Mh Magufuli na alipokuwa mkali wakaanza kumlaani
Hata Shetani aliacha razi kwa Wanadamu akasema ninyi wanadamu mnanitukana kila siku na kumsifia Mungu wakati amewaandalia moto wa kuwachoma
Mnanitukana kwasababu mpo hai ila mtakapokufa mtatumbukia kwenye moto wa milele aliowaandalia
Siku zenu za kuchomwa moto wake ndipo mtamlaani kuwa ni katili na mtajuta sana mkilia na kulaani kuwa anawakatili