Hayati Magufuli hakuwa Dikteta

Kwahiyo Lissu alikuwa ni kigeugeu?
Yule ndo mwehu kabisa kwasababu alisema Magufuli ni mbaya badae akasema ni mzuri, huu ndio ukichaa naozungumzia
Hana msimamo na kauli zake ni kigeugeu aliyekubuhu
 
Huyu tuliokuwa naye haweiz kukemia hata nzi ndo maana kila kitu mambo hayaendi miradi kila siku visingizio kila kona akija kiongozi akaachana na mambo ya mchakato tunaona shida.. lakin tukuenda kwa nchi za wenzetu tunataman miji yao ilovyopangiliwa
Ukicheka na nyani unavuna mabua
 
Alikuwa na maono ya Tanzania kwa miaka 50 - 100 ijayo kwa maslahi mapana
ya Taifa. Si kama wanasiasa wengine na wanajamii ambao maono yao huwa Mwaka moja mpaka mitatu ikizidi hapo ni miaka 5.

Ndiyo maana vikundi hivyo na watu hao WALIO wengi lakini upeo mdogo sababu ya maslahi binafsi na kisiasa waliungana kwa namna tofauti kupiga vita utawala wa JPM
 
Sana mkuu 100%
 
"Na leo nataka niseme, Watanzania mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya kwasababu nimesacrifice maisha yangu kwa wananchi masikini"
 
Kwani watanzania ndiyo umewajua leo? Wabongo usipowaelewa unaweza kimbia bila nguo, halafu huyo huyo ulieenda kumuokoa anaanza kukucheka tupu yako, eti iko upande na imekondaa!
 
Hapana, utakapokumbana na watu vigeugeu na wasaliti na ukachukua hatua ndipo utaitwa dikteta
Kwamba hatujui kiongozi dictator Hadi ww ndio uje utupe tafsiri yako ya mahaba niue? Yule alikuwa ni dictator, fullstop.
 
Kwamba hatujui kiongozi dictator Hadi ww ndio uje utupe tafsiri yako ya mahaba niue? Yule alikuwa ni dictator, fullstop.
Hata Mungu anaitwa dictator siku anapowapeleka watu motoni
 
vipi kuhusu kilichofanyika wakati wa uchaguzi wa 2020, kupiga marufuku vyama vya upinzani na kuuwa wapinzani?
 
Alikuwa na udikteta gani Sasa? Si basi tu kwasababu aliyafanya mengi ambayo kiuhalisia watu walizoea magumashi.
 
vipi kuhusu kilichofanyika wakati wa uchaguzi wa 2020, kupiga marufuku vyama vya upinzani na kuuwa wapinzani?
Walikuwa wanampigia kelele za usumbufu wakati wa kutekeleza sera za chama, ulikuwa ni muda wa kazi sio kampeni 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…