The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu.
Kwa jinsi hiyo hata CHADEMA wangekuwa na mtu kama Magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee Urais kwa chama chao.
Niwaombe CHADEMA badala ya kutumia nguvu kubwa sana kumnanga Magufuli, waelekeze nguvu kutengeneza viongozi wapya, ambao wamekuwa adimu sana.
CCM ina matatizo yake lakini CHADEMA imeshindwa kutake advantage ya matatizo ya CCM kujijenga na kujiimarisha, badala yake wanajikuta wanakimbizana na minyukano ya wana CCM.