The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza Kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu.
Kwa jinsi hiyo hata chadema wangekuwa na mtu kama magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee urais Kwa chama chao.
Niwaombe chadema badala ya kutumia nguvu kubwa sana kumnanga magufuli waelekeze nguvu kutengeneza viongozi wapya, ambao wamekuwa adimu sana.
Ccm ina matatizo yake lakini chadema imeshindwa kutake advantage ya matatizo ya ccm kujijenga na kujiimarisha badala yake wanajikuta wanakimnizana na minyukano ya wanaccm.

Ndo alisifiwa na wote bila kujali vyama vyaoNani amsifie mlevi wa madaraka?
Nani, dhalimu alikubalika na vyama vyote, unaumwa ww.Ndo alisifiwa na wote bila kujali vyama vyao
Huenda ulikuwa jela wakati akiwa madarakani, hivyo hujui lolote.Ndo alisifiwa na wote bila kujali vyama vyao
Magufuli akiwa Waziri ndo yuleyule akiwa Rais! Magufuli alikuwa mkali kweli, Nakumbuka kwenye kampeni JK anawaambia wanaccm kuwa kama utakuwa mzembe, mpenda rushwa utamchukia Magufuli huko mbele!Magufuli akiwa waziri hata Mimi nilimsifia
Actually sio mtu mbaya kwa utendaji na ufuatiliaji, alikuwa mzuri sana,
Ishu ni kwenye urais, kwenye urais, urais haukumfaa, alikua hajui uchumi, diplomasia, Wala hakuwa mpanga mikakati mzuri, pia alikosa uvumilivu na busara anaotakiwa kuwa nap kiongozi wa juu, matokeo yake akawa kiongozi aliyetaka kufanya Mambo mengi kwa haraka haraka na kuharibu mengi, kuchukiwa na wengi na mwishowe akashindwa kumalizia urais wake
Angebaki tu kuwa waziri hadi Leo angekuwa hai
Acha uongo!Sikumbuki ni mwaka gani lakini nakumbuka kwenye moja ya bajeti zake aliitekeleza kwa ufanisi Kwa kiwango ambacho hata Mbowe na wenzie walikosa kabisa cha kukosoa wakaishia kusifia tu.
Kwa jinsi hiyo hata CHADEMA wangekuwa na mtu kama Magufuli wasingeacha kumpa bendera agombee Urais kwa chama chao.
Niwaombe CHADEMA badala ya kutumia nguvu kubwa sana kumnanga Magufuli, waelekeze nguvu kutengeneza viongozi wapya, ambao wamekuwa adimu sana.
CCM ina matatizo yake lakini CHADEMA imeshindwa kutake advantage ya matatizo ya CCM kujijenga na kujiimarisha, badala yake wanajikuta wanakimbizana na minyukano ya wana CCM.
Ndio maana akafa kabla hajamalizaMagufuli akiwa Waziri ndo yuleyule akiwa Rais! Magufuli alikuwa mkali kweli, Nakumbuka kwenye kampeni JK anawaambia wanaccm kuwa kama utakuwa mzembe, mpenda rushwa utamchukia Magufuli huko mbele!
Diplomasia sio kuchekeana, Diplomasia ni uchumi kwasasa, sisi tumechelewa sana kwenye angle ya diplomasia ila hujiulizi kwann Diplomasia ya America na nchi za ulaya niya kibabe zaidi kulinda maslah yao?